Tangu uhuru mpaka leo ndio Biharamulo inapata hospitali ya wilaya

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali

Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi, Handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda

Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC

USSR
FB_IMG_1676617596465.jpg
FB_IMG_1676617613749.jpg
FB_IMG_1676617621191.jpg
 
Nshomile si huwa mnapiga sound kwamba mambo yenu safi, imekuwaje tena!
 
ccm iwezi kufanikisha kwa wakati mmoja ili kesho watumie kama uchaguzi kuombea kula
 
mm nilidhani wahaya pamoja na kujigamba ati wamesoma kumbe hata hospitali za wilaya hawana!Ngoja niende Muleba kama nao wanayo.
Hata Kilimanjaro Rombo na Moshi DC pamoja na kujigamba walikuwa hawana hospital za Wilaya Samia kawajengea
 
Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali

Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi,handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda

Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC

USSR View attachment 2520176View attachment 2520177View attachment 2520178
Mbunge Hana fedha za kujenga hospital ya wilaya
 
Magufuli alikuwa mbunge Biharamulo kwa miaka zaidi ya 10 sijui alifanya nini muda wote huko? Na hii ndio mnaita hospitali ya wilaya? Na vituo vya afya au dispensary za Biharamulo zitakuwaje?!
 
Wewe una mimba ya Magufuli hadi leo , Magufuli alikuwa mbunge wa Biharamulo mashariki inayoitwa Chato leo, hoi Biharamulo tunayozungumzia hapa ni binadamu magharibi ilibakia kuitwa Biharamulo baada ya jimbo kugawanywa mara baada ya uchaguzi wa Biharamulo nzima ambapo Magufuli alishindwa na Phares Kabuye ,

Barvicha akili huwa hamna nyie

USSR
 
Back
Top Bottom