Rais Samia Suluhu amefanya kazi kweli kweli ndani ya miaka 2 ya uongozi wake amefanikiwa kusogeza vituo vya afya karibu na wananchiJitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali
Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi,handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda
Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC
USSR View attachment 2520176View attachment 2520177View attachment 2520178