Tangu uhuru mpaka leo ndio Biharamulo inapata hospitali ya wilaya

Tangu uhuru mpaka leo ndio Biharamulo inapata hospitali ya wilaya

Kwa hospitali hii mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA atapita bila kupingwa

USSR
Ilihali gharama za maisha ziko juu, umeme usione na uhakika, tozo, n.k? WaTanzania sio wajinga wanaona mijadala ya bunge na wanajua ni mzigo hospitali ni Kodi zao Wala sio mfuko wa Jimbo au hisani ya mbunge.
 
Roho mbaya ya Magufuli ndio iliifanya Biharamulo kutopata huduma mhimu kisa kunyimwa ubunge...
 
Punguza ujuaji JPM si alisema wazi mkichagua upinzani hakuna maendeleo!! Sasa Chadema watoe wapi Hela za kujenga hospitali kama serikali inaona majimbo Yao ni waasi?

Alimkatalia Esther Matiko mradi eti kisa hayupo CCM, Bunda akawanyima Barabara eti kisa walimkataa 2015!! Same to Silinde alibaniwa miradi pia sababu tu "walikua na kimbelembele kuchagua upinzani" alafu ulivyo mjinga unakuja kuhoji kwanini hakuna maendeleo maeneo yaliyochagua upinzani? Unajitambua kweli?
Acha upumbavu wewe pimbi hapa tunazungumzia hospitali ya Biharamulo sio Magufuli una uelewa mdogo sana ,miradi yote nchi hii ni kwenye majimbo ya CCM tu, stand ya ubungo,uwanja wa ndege Dar es salaam wa JKN, barabara za kinondoni, hospital tarime na nk wapi JPM haikujenga binti wewe

USSR
 
Jorojik Rombo haijawahi kuwa na hospitali yake ya wilaya tangu kuanzishwa kwake bali ilianza kujengwa 2018 kwenye awamu ya kwanza ya hospitali zilizojengwa nchini DC Rombo apokelewa na masale,washukuru kujengewa hospitali ya wilaya
Huruma hospital inamilikiwa na kanisa katoliki na imekuwa ikitumika kama hospitali teule ya wilaya sawa na hospitali teule ya biharamulo inayomilikiwa na kanisa pia.

Hivi mlivyo wabaguzi mlishaacha kusema kwamba ilipojengwa huko useri ni wamewajengea wakenya? Nilifika 2020 nikakutana na hiyo hali.
Wakenya wanatibiwa Ngoyoni hospital, siyo huko Useri.
 
Jorojik Nimekuuliza "mlishaacha kusema ilipojengwa ni wamewajengea wakenya?" Tulikuta ya kwamba mlitaka ujenzi ukwame mkiongozwa na madiwani wa chadema mpaka yule dc mwanamama mtulivu asiyeendekeza siasa akawatia ndani baadhi ya watu kwa manufaa ya watu wa huko
Huu uwongo lakini.
 
Nshomile si huwa mnapiga sound kwamba mambo yenu safi, imekuwaje tena!
Acha kukalili na chuki zako pambana na hali yako...nshomile na biharamulo wap na wap...

Ni kama kusema wachaga na Same au mwanga....

Fuatilia wilaya za nshomile kama muleba....haina hospital ya wilaya ya serikali lakin ina hospital tatu binafsi nazo ni Rubya, Kagondo na Ndolage...

Hata hio biharamulo ilikuwa na hospital teule ya wilaya lakin ya binafsi
 
mm nilidhani wahaya pamoja na kujigamba ati wamesoma kumbe hata hospitali za wilaya hawana!Ngoja niende Muleba kama nao wanayo.
Nimekuona sana uko interested na wahaya...bado hujaridhika tu na matusi...hivi unajua mtu anayetukana ukimkalia kimya anaona aibu...kutukana makabila ya watu hakutakuongezea chochote kwenye maisha yako...kwanza ni ulimbukeni maana hakuna achaguaye kabila...binadamu aliyestaarabika anaishi na mtu yeyote yule...ni dynamic

Wahaya na biharamulo wap na wap ndugu yangu....

Yap muleba haina hospital ya serikali ya wilaya ( sasa sijui ulitaka wahaya wajenge hospital za wilaya ok may be wahaya ni serikali labda)...
Lakin wilaya ya muleba ina hospital tatu kubwa tu za binafsi...
 
Huu ndiyo ujinga uliosemwa hapa Dkt. Mollel: Watanzania wengi ni wajinga sana, wanaomshauri Rais hawana uelewa wa kutosha
Ukiwa na chuki na hao watu na kuendekeza ujinga utajiumiza bure. Hivi ni wajibu wa hao wahaya kujenga hospitali au ni jukumu la serikali? Tutajie kwenu ni wapi ili tupajue maana mna chuki na hao watu isivyo kawaida. Najua wilaya yako itakuwa ni kati ya hospitali za wilaya 126 zilizoanza kujengwa 2018. WAZIRI BASHUNGWA AMALIZA MGOGORO WA ENEO ITAKAPOJENGWA HOSPITALI YA WILAYA MOSHI
Achana nalo hilo...mtu anayetukana jamii nzima fulani hana akili...wew mtu utachukiaje kabila zima kama sio wehu na unyafuzi wa ubongo
 
Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali

Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi,handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda

Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC

USSR View attachment 2520176View attachment 2520177View attachment 2520178
Mkiambiwa Samia anaweza muwe mnaelewa.
 
Acha kukalili na chuki zako pambana na hali yako...nshomile na biharamulo wap na wap...

Ni kama kusema wachaga na Same au mwanga....

Fuatilia wilaya za nshomile kama muleba....haina hospital ya wilaya ya serikali lakin ina hospital tatu binafsi nazo ni Rubya, Kagondo na Ndolage...

Hata hio biharamulo ilikuwa na hospital teule ya wilaya lakin ya binafsi
Nimemueleza sema anakichwa kimejaa matope biharamulo ipo na wasubi

USSR
 
Magufuli alikuwa mbunge Biharamulo kwa miaka zaidi ya 10 sijui alifanya nini muda wote huko? Na hii ndio mnaita hospitali ya wilaya? Na vituo vya afya au dispensary za Biharamulo zitakuwaje?!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Acha upumbavu wewe pimbi hapa tunazungumzia hospitali ya Biharamulo sio Magufuli una uelewa mdogo sana ,miradi yote nchi hii ni kwenye majimbo ya CCM tu, stand ya ubungo,uwanja wa ndege Dar es salaam wa JKN, barabara za kinondoni, hospital tarime na nk wapi JPM haikujenga binti wewe

USSR
Hakujenga Biharamulo,Karatu,Momba,Songwe,nk

Kuna Wilaya 136 hakujenga hospital na Sasa zinaendelea na ujenzi

Kwingine huku Liwale Samia kafanya kweli [emoji116]

Acha kukalili na chuki zako pambana na hali yako...nshomile na biharamulo wap na wap...

Ni kama kusema wachaga na Same au mwanga....

Fuatilia wilaya za nshomile kama muleba....haina hospital ya wilaya ya serikali lakin ina hospital tatu binafsi nazo ni Rubya, Kagondo na Ndolage...

Hata hio biharamulo ilikuwa na hospital teule ya wilaya lakin ya binafsi
Hata Karagwe Kwa Bashungwa yaani mwaka huu ndio Wamepata hospital baada ya Samia kutoa pesa.

Nshomile ni Bure kabisa
 
Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali

Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi,handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda

Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC

USSR View attachment 2520176View attachment 2520177View attachment 2520178
Wilaya ilibaniwa sana, miaka ya karibuni ndiyo kuna mwehu akawaharibia kabisa hata barabara kuu ikahamishiwa Chato jambo lililozidi kuiporomosha Biharamulo.
 
Back
Top Bottom