😂🤣Yote haya kayaleta Nyerere na mashoga zake Shobo za kudai Uhuru na hatukua tayari kujiongoza
Yote haya kayaleta Nyerere na mashoga zake Shobo za kudai Uhuru na hatukua tayari kujiongoza
mm nilidhani wahaya pamoja na kujigamba ati wamesoma kumbe hata hospitali za wilaya hawana!Ngoja niende Muleba kama nao wanayo.Ndio muelewe kazi kubwa ya Mama,
Hata Kilimanjaro Rombo na Moshi DC pamoja na kujigamba walikuwa hawana hospital za Wilaya Samia kawajengeamm nilidhani wahaya pamoja na kujigamba ati wamesoma kumbe hata hospitali za wilaya hawana!Ngoja niende Muleba kama nao wanayo.
Huruma hospital ya Rombo ni ya Kijiji au?!Hata Kilimanjaro Rombo na Moshi DC pamoja na kujigamba walikuwa hawana hospital za Wilaya Samia kawajengea
Hawanaga lolote mbwembwe hewa tuNshomile si huwa mnapiga sound kwamba mambo yenu safi, imekuwaje tena!
CCM hawahitaji kura ili kukaa madarakani kijana,so wanapojenga miundombinu wanajenga wakiwa Kama washika hatamu za nchiccm iwezi kufanikisha kwa wakati mmoja ili kesho watumie kama uchaguzi kuombea kula
Mbunge Hana fedha za kujenga hospital ya wilayaJitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali
Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi,handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda
Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC
USSR View attachment 2520176View attachment 2520177View attachment 2520178
Magufuli alikuwa mbunge Biharamulo kwa miaka zaidi ya 10 sijui alifanya nini muda wote huko? Na hii ndio mnaita hospitali ya wilaya? Na vituo vya afya au dispensary za Biharamulo zitakuwaje?!Jitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali
Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi,handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda
Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC
USSR View attachment 2520176View attachment 2520177View attachment 2520178
Wewe una mimba ya Magufuli hadi leo , Magufuli alikuwa mbunge wa Biharamulo mashariki inayoitwa Chato leo, hoi Biharamulo tunayozungumzia hapa ni binadamu magharibi ilibakia kuitwa Biharamulo baada ya jimbo kugawanywa mara baada ya uchaguzi wa Biharamulo nzima ambapo Magufuli alishindwa na Phares Kabuye ,Magufuli alikuwa mbunge Biharamulo kwa miaka zaidi ya 10 sijui alifanya nini muda wote huko? Na hii ndio mnaita hospitali ya wilaya? Na vituo vya afya au dispensary za Biharamulo zitakuwaje?!