Tangu uhuru mpaka leo ndio Biharamulo inapata hospitali ya wilaya

Kwa hospitali hii mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA atapita bila kupingwa

USSR
Ilihali gharama za maisha ziko juu, umeme usione na uhakika, tozo, n.k? WaTanzania sio wajinga wanaona mijadala ya bunge na wanajua ni mzigo hospitali ni Kodi zao Wala sio mfuko wa Jimbo au hisani ya mbunge.
 
Roho mbaya ya Magufuli ndio iliifanya Biharamulo kutopata huduma mhimu kisa kunyimwa ubunge...
 
Acha upumbavu wewe pimbi hapa tunazungumzia hospitali ya Biharamulo sio Magufuli una uelewa mdogo sana ,miradi yote nchi hii ni kwenye majimbo ya CCM tu, stand ya ubungo,uwanja wa ndege Dar es salaam wa JKN, barabara za kinondoni, hospital tarime na nk wapi JPM haikujenga binti wewe

USSR
 
Wakenya wanatibiwa Ngoyoni hospital, siyo huko Useri.
 
Huu uwongo lakini.
 
Nshomile si huwa mnapiga sound kwamba mambo yenu safi, imekuwaje tena!
Acha kukalili na chuki zako pambana na hali yako...nshomile na biharamulo wap na wap...

Ni kama kusema wachaga na Same au mwanga....


Fuatilia wilaya za nshomile kama muleba....haina hospital ya wilaya ya serikali lakin ina hospital tatu binafsi nazo ni Rubya, Kagondo na Ndolage...

Hata hio biharamulo ilikuwa na hospital teule ya wilaya lakin ya binafsi
 
mm nilidhani wahaya pamoja na kujigamba ati wamesoma kumbe hata hospitali za wilaya hawana!Ngoja niende Muleba kama nao wanayo.
Nimekuona sana uko interested na wahaya...bado hujaridhika tu na matusi...hivi unajua mtu anayetukana ukimkalia kimya anaona aibu...kutukana makabila ya watu hakutakuongezea chochote kwenye maisha yako...kwanza ni ulimbukeni maana hakuna achaguaye kabila...binadamu aliyestaarabika anaishi na mtu yeyote yule...ni dynamic


Wahaya na biharamulo wap na wap ndugu yangu....


Yap muleba haina hospital ya serikali ya wilaya ( sasa sijui ulitaka wahaya wajenge hospital za wilaya ok may be wahaya ni serikali labda)...
Lakin wilaya ya muleba ina hospital tatu kubwa tu za binafsi...
 
Achana nalo hilo...mtu anayetukana jamii nzima fulani hana akili...wew mtu utachukiaje kabila zima kama sio wehu na unyafuzi wa ubongo
 
Mkiambiwa Samia anaweza muwe mnaelewa.
 
Nimemueleza sema anakichwa kimejaa matope biharamulo ipo na wasubi

USSR
 
Magufuli alikuwa mbunge Biharamulo kwa miaka zaidi ya 10 sijui alifanya nini muda wote huko? Na hii ndio mnaita hospitali ya wilaya? Na vituo vya afya au dispensary za Biharamulo zitakuwaje?!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakujenga Biharamulo,Karatu,Momba,Songwe,nk

Kuna Wilaya 136 hakujenga hospital na Sasa zinaendelea na ujenzi

Kwingine huku Liwale Samia kafanya kweli [emoji116]

 
Hata Karagwe Kwa Bashungwa yaani mwaka huu ndio Wamepata hospital baada ya Samia kutoa pesa.

Nshomile ni Bure kabisa
 
Wilaya ilibaniwa sana, miaka ya karibuni ndiyo kuna mwehu akawaharibia kabisa hata barabara kuu ikahamishiwa Chato jambo lililozidi kuiporomosha Biharamulo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…