Rais Samia Suluhu amefanya kazi kweli kweli ndani ya miaka 2 ya uongozi wake amefanikiwa kusogeza vituo vya afya karibu na wananchiJitihada za mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA amefanikisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo ndio imeanza kutoa huduma za awali
Biharamulo ni wilaya kongwe zilizoanza tangu ukoloni ziwa kundi moja na Nairobi,handeni na n.k ila sasa ndio inapata hospitali ya wilaya huku wilaya mpya kama Chato zikiwa na hospitali ya kanda
Hongera sana mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA angalau sasa huduma hizi zitapatikana kwa hospitali ya umma badala teule ya RC
USSR View attachment 2520176View attachment 2520177View attachment 2520178
Kama nshomile ndo wanajenga hospital za serikali basi ni bure kweli....Hata Karagwe Kwa Bashungwa yaani mwaka huu ndio Wamepata hospital baada ya Samia kutoa pesa.
Nshomile ni Bure kabisa
Hospital za Makanisa sio za SerikaliKama nshomile ndo wanajenga hospital za serikali basi ni bure kweli....
Hiv ile hospital ya nyakahanga ni nini...maana imekuwepo kabla ya wew kuzaliwa
Kulikuwa na wilaya zaidi ya 150 hazina hospitali ya wilaya,wewe umeona Biharamulo tu
USSR
Acha ujinga wewe.Ndio muelewe kazi kubwa ya Mama,
Apite bila kupingwa. !! Pesa ametoa yeye au huyo mnayembasibu?? Hii pesa za walipa Kodi na Tozo!Kwa hospitali hii mbunge wa Biharamulo Ezra CHIWELESA atapita bila kupingwa
USSR
Toa upuuzi wako hapo, Mwendazake alianzisha hospital jumla 61 tuu miaka 6 aliyokaa madarakaniHii ya Biharamulo imejengwa na wote hata hizo unazisema zilianzishwa na Magufuli mama anamalizia
USSR
Una mimba ya mwendazake sio bure binti mbona hasira hivyo hii ni mijadala tu ,tuseme haikujenga kanisaToa upuuzi wako hapo, Mwendazake alianzisha hospital jumla 61 tuu miaka 6 aliyokaa madarakani
So toa 127 Kwa 61 zikizobaki ni za Samia.
On top of that Samia anajenga hospital ya Kanda ya Magharibi Kigoma, hospital ya Rufaa ya Mikoa ya Lindi,Ruvuma,Rukwa na Ukerewe.
Yote hayo ni ndani ya miaka tuu,huko kwenye Vituo vya Afya ndio usiseme.
Harafu Mwendazake ni WA ajabu sana alikuwa anaanzisha Ili amalizie nani Sasa?
IdiotRoho mbaya ya Magufuli ndio iliifanya Biharamulo kutopata huduma mhimu kisa kunyimwa ubunge...
Ukibanwa kende Kwa kukosa hoja lazima utafute kujifariji.Una mimba ya mwendazake sio bure binti mbona hasira hivyo hii ni mijadala tu ,tuseme haikujenga kanisa
USSR
Ila wafu wanamenda na humu hamchoki kumosti hata Samia mwenyewe alisema hawezi kuvaa viatu vyake maana jamaa alikuwa sio mtu wa mchezoUkibanwa kende Kwa kukosa hoja lazima utafute kujifariji.
Mwendazake was a looser kila siku nakuambia
Unachobisha nini?, nenda kawaulize wazee wa chato km mzee Bigambo,mbanda wanamjua haswa huyu jamaa.Idiot