Saidama
JF-Expert Member
- Jun 10, 2022
- 598
- 1,151
Poleni. Sisi huku upande mwingine tumefurahishwa sana na hatua hii mana watumiaji wa hii WhatsApp GB walikua wanatukwaza sana kwenye baadhi ya vitu. Kama kitu nimekosea kutuma nikakifuta, kwanini uendelee kukiona, hili na mengine mengi yalikua hayako sawa kabisa