Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

Ulinzi dhidi ya nani?. Anae amua/kutaka taarifa zake ziwe safe ni mtumiaji ama mtengenezaji?.
Gb WhatsApp ina policies zao, kabla ya kuipakua inakupa uzisome na wapo wazi kuhusu swala zima la Ulinzi wa taarifa zako.
Hakuna judicy itanihukumu kwa kosa la kuweka mlango wa Mabua kwenye nyumba yangu.
Mimi ni hoe hae, mkulima na mfugaji nani atahiji taarifa zangu?.
Kwa kuzingatia ilo nimechagua Gb whatap ila na WhatsApp wanakuja nifungia Gb WhatsApp yangu et kisa haina usalama wa taarifa zangu, usalama wa taarifa zangu unawahusu nini wao ikiwa mimi sijali?.
Kama hao gbwhatsapp ni bora si watengeneze program yao kama walivyotengeneza telegram ili mhamie huko? Nini kinawashimda mpaka wafanye kuboresha whatsapp official halafu irun kwa kutumia huduma za whatsapp official. Whatsapp anazipga ban kwa sababu ni hatari kwa usalama wa miundo mbinu zake. Hata voda haweI ruhusu kampuni ije iniite gbvoda halafu iwe inatoa huduma za simu ile inapita kwenye miundo mbinu ya voda kuanzia servers hadi minara.
 
GB WhatsApp ilikuwa kwajil ya watu wasiojitambua matapeli wadangaji waongo watoto mashoga watoto jobless idiots na kila aina ya watu wasiofaa ktk jamii...
 
Ukiacha uzinzi na unafiki +Kufake maisha na Udaku GB watsApp haikua na cha maana dhidi ya WhatsApp Org...

Anyway Polee.
 
Ulinzi dhidi ya nani?. Anae amua/kutaka taarifa zake ziwe safe ni mtumiaji ama mtengenezaji?.
Gb WhatsApp ina policies zao, kabla ya kuipakua inakupa uzisome na wapo wazi kuhusu swala zima la Ulinzi wa taarifa zako.
Hakuna judicy itanihukumu kwa kosa la kuweka mlango wa Mabua kwenye nyumba yangu.
Mimi ni hoe hae, mkulima na mfugaji nani atahiji taarifa zangu?.
Kwa kuzingatia ilo nimechagua Gb whatap ila na WhatsApp wanakuja nifungia Gb WhatsApp yangu et kisa haina usalama wa taarifa zangu, usalama wa taarifa zangu unawahusu nini wao ikiwa mimi sijali?.
Hii ndo Pumba ya mwaka 2024 msimu wa mafuliko.
 
Back
Top Bottom