Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

anaetumia hayo ma whattsap GB namchukulia ni moja ya kijana wa hovyo tu.. Haiwezekani mtu afute kitu chake alichopost bahati mbaya au kimejipost halafu afute wewe utake kubaki nacho..

Mwingine anaangalia status za watu kwa kujificha apo unakuta yeye kahide.. ni kitu cha hovyo tu
 
We ni nani kwa whatsapp hata ukitoka ....ACHA KUTUMIA ... yaani hawana shida wewe ...... user 1 billion ukitoka ww mmoja who are you yaaani
 
Gb ilikuwa na voice changer niliifurahia kwa mambo mengi tu wala si hiyo ya kuona deleted items
 
Mbona wengine bado tunadunda......na zitakaa wiki chache ,watu watarudi tena,,,,uzuri ma hacker wake ni wa Iran nao wanapata raha kuwavuruga jamaa
Labda utumie zile za County code tofauti... Hizo zinakubali
 
We ni mwenzangu,Jana nimeiona SMS Yao wakinitaka nidownload official wasap,nikaipuuza.Itachukua muda gani kutoa baada ya kutumia SMS.Binafsi hii ndo wasap yangu pendwa.
 
Afu hasara yake hyo Gb whatsapp ni data zako zinakua hazipo safe mda wowote watu wana ku hack tu
 
Madai yako hayana tija ni utopolo mtupu.

Watu wasio na shughuli za msingi na wenye muda wa kuchezea ndo wanapenda hiyo Whatsapp GB. Whatsapp OG is more than enough.
 
Je napataje chats zangu zilizokuwepo kwenye whatspp GB
Poleni sana...


Cc: Mahondaw
Je napataje chats zangu zilizokuwepo kkenye GB whatsapp
 
Naomba kufahamu kama mpaka sasa bado tunatumia officials wosapu? Bila kuficha hisia nimeichoka sana hivi Offcial
 
Je napataje chats zangu zilizokuwepo kwenye whatspp GB

Je napataje chats zangu zilizokuwepo kkenye GB whatsapp
Servers za GB WhatsApp sidhan kama wana associates na Google Drive kama unafanya online back up.... unless otherwise ufanye custom back kwa ku backup chats on a certain device...ingaw uki install official WhatsApp itashindwa ku detect hizo back utaona unaanza upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…