Tangu waizime WhatsApp GB huduma ya WhatsApp imepoteza mvuto

Kama hao gbwhatsapp ni bora si watengeneze program yao kama walivyotengeneza telegram ili mhamie huko? Nini kinawashimda mpaka wafanye kuboresha whatsapp official halafu irun kwa kutumia huduma za whatsapp official. Whatsapp anazipga ban kwa sababu ni hatari kwa usalama wa miundo mbinu zake. Hata voda haweI ruhusu kampuni ije iniite gbvoda halafu iwe inatoa huduma za simu ile inapita kwenye miundo mbinu ya voda kuanzia servers hadi minara.
 
GB WhatsApp ilikuwa kwajil ya watu wasiojitambua matapeli wadangaji waongo watoto mashoga watoto jobless idiots na kila aina ya watu wasiofaa ktk jamii...
 
Ukiacha uzinzi na unafiki +Kufake maisha na Udaku GB watsApp haikua na cha maana dhidi ya WhatsApp Org...

Anyway Polee.
 
Hii ndo Pumba ya mwaka 2024 msimu wa mafuliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…