Tangu Yanga wafungiwe usajili na FIFA & CAF Pacome hakucheza tena

tatizo la kuvimbiwa viporo ndio hii sasa umesikia intavyuu ya pacome na ya rais wa yanga? ukweli sasa si unao?
 
Kwa hiyo FIFA wakakwambia mchezaji gani ambaye usajili wake hautambuliwi?
 
Kwanini aliitwa national team na kukaa benchi kabisa? Hakuumia ile ilikuwa ni janja janja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani ivory coast waite majeruhi kutoka Tanzania!!!!!!
Zero Brain
 
Him ni kutokana FIFA kuwazuia kusajili kutoka na kutofuata taratibu za mifumo ya usajili.
Hivyo TFF fuateni taratibu za mpira, msifichefiche
 
Utakuwa umekatwa kichwa wewe!

Je Pacome hana leseni ya TFF kucheza ligi za ndani?

Je Pacome hana leseni ya CAF kucheza ligi zake?

Acha tabia za fisi kusubiri mkono udodoke apate kitoweo!
 
Hivi huyu aliyeanzisha huu uzi Mbona ha kupata Ban kwa kuandika uongo kuhusu Pacome
 
Utakuwa umekatwa kichwa wewe!

Je Pacome hana leseni ya TFF kucheza ligi za ndani?

Je Pacome hana leseni ya CAF kucheza ligi zake?

Acha tabia za fisi kusubiri mkono udodoke apate kitoweo!
Yule mvuta bangi Yericko Nyerere ndio amewaingiza mkenge.

Mtu wa Iringa anayeacha kutumia jina la baba yake mzazi anadandia jina la Nyerere atapata wapi akili?
 
Kwa nini usiwaulize FIFA na CAF ambap ndio walioifungia badala yale uilalamikie TFF.

Jinamizi la Yanga linakutesa sana; kila ukikurupuka kutoka usingizini unaona bango la yanga, unajifunika haraka haraka na kuuliza kwa nini TFF inaficha jina.
 
Kwa nini usiwaulize FIFA na CAF ambap ndio walioifungia badala yale uilalamikie TFF.

Jinamizi la YTanga linakutesa sana; kila ukikurupuka kutoka usingizingi unaona bango la yanga, unajufunika haraka haraka na kuuliza kwa TFF inaficha jina.
Baelezee πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚
 
TUNATAKA SHERIA IFUATE MKONDO WAKE TUTAENDA MPAKA FIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…