Tangu zamani najua wazaramo wanapenda ngoma lakini leo ndio nimejionea ngoma zao, kupandisha majini ni ngoma ? kwa ngoma hizi nmeanza kuwaogopa !!

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi.

Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,

kule kanda ya ziwa kuna ya asili inaitwa kadogori inapigwa kwenye mikesha ya sherehe. Pia kuna ngoma wenyewe wanaita za majini zinapigwa na waganga wa jadi kutuliza mapepo
 
Sasa si ndio kuchochea uchawi huko
 
Back
Top Bottom