Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutafta laana wewe binti.NAOMBA UNISAIDIE NAMNA YA KUMFUKUZA MAMA YANGU MZAZI KWANGU NIMECHOKA!
Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu wkani nilikua nafahamu jinsi Mama wakwe walivyo na roho mbaya. Kweli sikuishi naye, Mama mkwe wangu hata hakuwahi kuja mjini kusalimia, ndoa yangu ilikua na amani kwa miaka 12 ya mwanzo. Lakini mwaka jana mwanzoni Baba mkwe wangu alifariki dunia, Mama mkwe ni mtu mzima ana miaka kama 67.
Alibaki kijijini mwenyewe hivyo mume wangu kwakua ndiyo mkubwa kwao aliniambia kuwa anataka kumchukua Mama yake kuja kuishi naye. Nilikataa wkani nilishajiapiza hivyo, lakini mume wangu alisema hawezi kumuacha Mama yake akiteseka kijijini. Nilikubali shingo upande lakini ili kumkomoa mume wangu nilienda kijijini na kumchukua Mama yangu ili tuje tuishi wote.
Mimi Baba yangu yuko hao, lakini nilidanganya kuwa Mama je Dar kuchekiwa kwani mara nyingi alikua analalamika miguu, basi alikuja nikijua kuwa, wakiishi na Mama mkwe wangu watagombana au mume wangua tachukia na kumfukuza Mama yake ili tuishi wenyewe. Mama yangu alikuja mwaka jana na mume wangu alimpokea vizuri, tuna nyumba kubwa tu hivyo hakuna tatizo kwa hilo.
Sababu ya kuja kwako ni hivi, Mama mkwe wangu pamoja na umri wake mkubwa ni mtu poa sana mpaka naona aibu, anamka anafanya usafi nyumba nzima, yaani hata kama nipo anasema hapana nikikaa hivi sifanyi kitu nitakufa kwa uzee, ananisaidia kupika, anapenda watoto, alikua Mwalimu, yaani anafundisha watoto wangu, wananidhamu na wanamuelewa kuliko hata mimi.
Hana kelele na sasa hivi mume wangu alikua mlevi ila kwa Mama yake kaacha pombe kwani Mama alimuambia hawezi kula chakula mtoto wake akiwa nnje hivyo ni kama kamnyoosha, yaani Kaka Mama mkwe wangu hana shida. Shida imekuja kwa Mama yangu, ana visa mpaka naona kama anataka kunivunjia ndoa yangu. Mwanzo nilikua namuona Mama yangu kama mtu wa kawaid, hana maneno na nimu mzuri.
Lakini baada ya kuja Dar, kwanza ni mtu wa majirani, yaani yeye akiamka Mama mkwe kashapika chai anywe aende kwa majirani, tunapokaa si uswahilini sana ila kuna majirani kashazoea nao. Pili anavituko vingi, napenda kugombeza watoto na akigombeza anatukana kabisa, lakini pia mimi na mume wangu tunafanya kazi, tuna utaratibu wa kufanya vitu kwa pamoja.
Mama yangu hivyo hataki, analeta maneno maneno kuwa mume wangu hachangii chochote, mimi ndiyo namlisha na vitu vingi, kisa tu mimi nafanya kazi serikalini na Mume wangu binafsi hivyo anajua mimi nina akili sana na nina pesa nyingi sana hataki nichangie chochote. Anashindwa kujua kuwa msahara wa mume wangu ni zaidi ya mara tano ya mshahara wangu na kila kitu tunaandika majina yetu au ya watoto.
Mama yangu baada ya kuja huku kuna jirani yetu alimshawishi na kuingia kanisa moja hivi, basi baada ya kuingia huko akaambiwa kuachana na Baba kwani yeye hajaokoka, basi sasa hivi ni kwamba wamegombana, yaani hata ukimuambia kuhusu kurudi nyumbani anakataa kwakua kaambiwa haezi kuishi na mtu si wa dhehebu lake. Shida nyingine nikuwa, anasumbua kuhusu fedha za sadaka, yaani hata kama huna ataongea na hapo nyumbani hakutakalika.
Usiku anaweza kufungua Radio, akafungulia nyimbo kwa nguvu vila kujali kama watu wamelala, sasa hivi kaanza kitu kingine, kila siku saa nane usiku huamka na kuanza kukemea mpaka asubuhi. Yaani kaka ni mambo mengi mpaka najuta, mume wangu hajwahi kunilalamikia hata siku moja lakini najua kuwa anaumia na vituko vya Mama yangu an ipo siku atachoka.
Naomba nisaidie Kaka, nifanye nini, nina ndugu zangu hapa Dar nikiwaambia wanisaidie kumchukua wanakataa kwani washamjua tabia zake wananiambia sikutumwa kumchukua kijijini. Yaani nina mdogo wangu yeye hana ndoa anaishi mwenyewe, nimemuambia amchukue Mama kabla hajanivunjia ndoa yangu yeye anasema angalau mimi nina ndoa ya kuvujja yeye akiishi na Mama hata ndoa hataipata, nisaidie, nifanye nini, nimfukuzeje wakati kijijini Baba hamtaki kwasabbau ya dini, nisaidie Kaka?
Ndo maana nakupendaVipi kama mama yako ana tabia kama za mama yake huyu binti??? Kuna watu Wana tabia mbaya tu, sio sababu mama yako basi ndio awe malaika hata akikosea basi watu wakae wavumilie, Kuna wamama wengine vichomi kwelikweli tena mpaka unajiuliza huyu binadamu au vipi yaani, ni vile hana roho ya Utu wala huruma... Kabla hujamchukia mkeo kisa mama yako, Anza kutumia Muda wako kumjua mama yako yupoje kwa mkeo.... Hakuna hukumu inayotoka kwa kuangalia upande mmoja.
Ninachojua ninkwamba hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu mkuu.Kuna watu wanafiki sana watakuja kukuambia Vumilia ni Mama yako. Sidhani kama kuna mtu anapenda kuona Nyumba yake inaghasia au familia yake ina ghasia. Huwezi vumilia matatizo yasiyotatuka. Aidha ukubali kumlinda mama yako kwa kuendelea kuishi nae huku ukibomoa familia na Ndoa yako au Ulinde Familia umuondoe Mama yako.
Kama utakubali kuishi ndani maana yake umekubali Kulea Upumbavu huku ukibomoa Nyumba yako. Hii ni kulea Kansa inayokuwa taratibu taratibu. Ni kweli unampenda Mama yako lakini jua na wewe ni Mama wa watoto wako kama uko tayari umfurahishe mama yako huku ukiteketeza familia sawa.
Fanya Maamuzi Magumu aidha umtafutie chumba sehemu ingine nje ya mji wako ap akae huku na ukubali kuingia Gharama za kumlipia na kumtunza au Umrudishe kwenu. Usilee Upumbavu katika Familia yako, Separate the colors.
Kupitia huu mwandiko wako tayari nimeweza kugundua una umbo la namna gani.[/SIZE]
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]mkuu utaanzisha zogo humu ndani[emoji13][emoji13][emoji13][/QUOTE]Chakoriipiga ua atakua kimbaumbau flan hivi
NAOMBA UNISAIDIE NAMNA YA KUMFUKUZA MAMA YANGU MZAZI KWANGU NIMECHOKA!
Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu wkani nilikua nafahamu jinsi Mama wakwe walivyo na roho mbaya. Kweli sikuishi naye, Mama mkwe wangu hata hakuwahi kuja mjini kusalimia, ndoa yangu ilikua na amani kwa miaka 12 ya mwanzo. Lakini mwaka jana mwanzoni Baba mkwe wangu alifariki dunia, Mama mkwe ni mtu mzima ana miaka kama 67.
Alibaki kijijini mwenyewe hivyo mume wangu kwakua ndiyo mkubwa kwao aliniambia kuwa anataka kumchukua Mama yake kuja kuishi naye. Nilikataa wkani nilishajiapiza hivyo, lakini mume wangu alisema hawezi kumuacha Mama yake akiteseka kijijini. Nilikubali shingo upande lakini ili kumkomoa mume wangu nilienda kijijini na kumchukua Mama yangu ili tuje tuishi wote.
Mimi Baba yangu yuko hao, lakini nilidanganya kuwa Mama je Dar kuchekiwa kwani mara nyingi alikua analalamika miguu, basi alikuja nikijua kuwa, wakiishi na Mama mkwe wangu watagombana au mume wangua tachukia na kumfukuza Mama yake ili tuishi wenyewe. Mama yangu alikuja mwaka jana na mume wangu alimpokea vizuri, tuna nyumba kubwa tu hivyo hakuna tatizo kwa hilo.
Sababu ya kuja kwako ni hivi, Mama mkwe wangu pamoja na umri wake mkubwa ni mtu poa sana mpaka naona aibu, anamka anafanya usafi nyumba nzima, yaani hata kama nipo anasema hapana nikikaa hivi sifanyi kitu nitakufa kwa uzee, ananisaidia kupika, anapenda watoto, alikua Mwalimu, yaani anafundisha watoto wangu, wananidhamu na wanamuelewa kuliko hata mimi.
Hana kelele na sasa hivi mume wangu alikua mlevi ila kwa Mama yake kaacha pombe kwani Mama alimuambia hawezi kula chakula mtoto wake akiwa nnje hivyo ni kama kamnyoosha, yaani Kaka Mama mkwe wangu hana shida. Shida imekuja kwa Mama yangu, ana visa mpaka naona kama anataka kunivunjia ndoa yangu. Mwanzo nilikua namuona Mama yangu kama mtu wa kawaid, hana maneno na nimu mzuri.
Lakini baada ya kuja Dar, kwanza ni mtu wa majirani, yaani yeye akiamka Mama mkwe kashapika chai anywe aende kwa majirani, tunapokaa si uswahilini sana ila kuna majirani kashazoea nao. Pili anavituko vingi, napenda kugombeza watoto na akigombeza anatukana kabisa, lakini pia mimi na mume wangu tunafanya kazi, tuna utaratibu wa kufanya vitu kwa pamoja.
Mama yangu hivyo hataki, analeta maneno maneno kuwa mume wangu hachangii chochote, mimi ndiyo namlisha na vitu vingi, kisa tu mimi nafanya kazi serikalini na Mume wangu binafsi hivyo anajua mimi nina akili sana na nina pesa nyingi sana hataki nichangie chochote. Anashindwa kujua kuwa msahara wa mume wangu ni zaidi ya mara tano ya mshahara wangu na kila kitu tunaandika majina yetu au ya watoto.
Mama yangu baada ya kuja huku kuna jirani yetu alimshawishi na kuingia kanisa moja hivi, basi baada ya kuingia huko akaambiwa kuachana na Baba kwani yeye hajaokoka, basi sasa hivi ni kwamba wamegombana, yaani hata ukimuambia kuhusu kurudi nyumbani anakataa kwakua kaambiwa haezi kuishi na mtu si wa dhehebu lake. Shida nyingine nikuwa, anasumbua kuhusu fedha za sadaka, yaani hata kama huna ataongea na hapo nyumbani hakutakalika.
Usiku anaweza kufungua Radio, akafungulia nyimbo kwa nguvu vila kujali kama watu wamelala, sasa hivi kaanza kitu kingine, kila siku saa nane usiku huamka na kuanza kukemea mpaka asubuhi. Yaani kaka ni mambo mengi mpaka najuta, mume wangu hajwahi kunilalamikia hata siku moja lakini najua kuwa anaumia na vituko vya Mama yangu an ipo siku atachoka.
Naomba nisaidie Kaka, nifanye nini, nina ndugu zangu hapa Dar nikiwaambia wanisaidie kumchukua wanakataa kwani washamjua tabia zake wananiambia sikutumwa kumchukua kijijini. Yaani nina mdogo wangu yeye hana ndoa anaishi mwenyewe, nimemuambia amchukue Mama kabla hajanivunjia ndoa yangu yeye anasema angalau mimi nina ndoa ya kuvujja yeye akiishi na Mama hata ndoa hataipata, nisaidie, nifanye nini, nimfukuzeje wakati kijijini Baba hamtaki kwasabbau ya dini, nisaidie Kaka?
Mambo vipi mkuuInakuwaje T 1990 ELY

umeona nia yako mbaya ilipokuweka, sasa umelipata tatizo mnapenda kutake adavantage ya watu. sasa mbaya kawa mama yako sio tena mama mkwe. ubinafsi haufai sasa mwiho pole sana natumai umejifunza kitu hapo utamalizana we na mama yako mzazi kibusara na wengine wmeona ila hawana cha kusema wataingilia mahusiano yako na mama yako mzazi so we utamalizana naye wengin wanavumilia tu hayo madoaNAOMBA UNISAIDIE NAMNA YA KUMFUKUZA MAMA YANGU MZAZI KWANGU NIMECHOKA!
Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu wkani nilikua nafahamu jinsi Mama wakwe walivyo na roho mbaya. Kweli sikuishi naye, Mama mkwe wangu hata hakuwahi kuja mjini kusalimia, ndoa yangu ilikua na amani kwa miaka 12 ya mwanzo. Lakini mwaka jana mwanzoni Baba mkwe wangu alifariki dunia, Mama mkwe ni mtu mzima ana miaka kama 67.
Alibaki kijijini mwenyewe hivyo mume wangu kwakua ndiyo mkubwa kwao aliniambia kuwa anataka kumchukua Mama yake kuja kuishi naye. Nilikataa wkani nilishajiapiza hivyo, lakini mume wangu alisema hawezi kumuacha Mama yake akiteseka kijijini. Nilikubali shingo upande lakini ili kumkomoa mume wangu nilienda kijijini na kumchukua Mama yangu ili tuje tuishi wote.
Mimi Baba yangu yuko hao, lakini nilidanganya kuwa Mama je Dar kuchekiwa kwani mara nyingi alikua analalamika miguu, basi alikuja nikijua kuwa, wakiishi na Mama mkwe wangu watagombana au mume wangua tachukia na kumfukuza Mama yake ili tuishi wenyewe. Mama yangu alikuja mwaka jana na mume wangu alimpokea vizuri, tuna nyumba kubwa tu hivyo hakuna tatizo kwa hilo.
Sababu ya kuja kwako ni hivi, Mama mkwe wangu pamoja na umri wake mkubwa ni mtu poa sana mpaka naona aibu, anamka anafanya usafi nyumba nzima, yaani hata kama nipo anasema hapana nikikaa hivi sifanyi kitu nitakufa kwa uzee, ananisaidia kupika, anapenda watoto, alikua Mwalimu, yaani anafundisha watoto wangu, wananidhamu na wanamuelewa kuliko hata mimi.
Hana kelele na sasa hivi mume wangu alikua mlevi ila kwa Mama yake kaacha pombe kwani Mama alimuambia hawezi kula chakula mtoto wake akiwa nnje hivyo ni kama kamnyoosha, yaani Kaka Mama mkwe wangu hana shida. Shida imekuja kwa Mama yangu, ana visa mpaka naona kama anataka kunivunjia ndoa yangu. Mwanzo nilikua namuona Mama yangu kama mtu wa kawaid, hana maneno na nimu mzuri.
Lakini baada ya kuja Dar, kwanza ni mtu wa majirani, yaani yeye akiamka Mama mkwe kashapika chai anywe aende kwa majirani, tunapokaa si uswahilini sana ila kuna majirani kashazoea nao. Pili anavituko vingi, napenda kugombeza watoto na akigombeza anatukana kabisa, lakini pia mimi na mume wangu tunafanya kazi, tuna utaratibu wa kufanya vitu kwa pamoja.
Mama yangu hivyo hataki, analeta maneno maneno kuwa mume wangu hachangii chochote, mimi ndiyo namlisha na vitu vingi, kisa tu mimi nafanya kazi serikalini na Mume wangu binafsi hivyo anajua mimi nina akili sana na nina pesa nyingi sana hataki nichangie chochote. Anashindwa kujua kuwa msahara wa mume wangu ni zaidi ya mara tano ya mshahara wangu na kila kitu tunaandika majina yetu au ya watoto.
Mama yangu baada ya kuja huku kuna jirani yetu alimshawishi na kuingia kanisa moja hivi, basi baada ya kuingia huko akaambiwa kuachana na Baba kwani yeye hajaokoka, basi sasa hivi ni kwamba wamegombana, yaani hata ukimuambia kuhusu kurudi nyumbani anakataa kwakua kaambiwa haezi kuishi na mtu si wa dhehebu lake. Shida nyingine nikuwa, anasumbua kuhusu fedha za sadaka, yaani hata kama huna ataongea na hapo nyumbani hakutakalika.
Usiku anaweza kufungua Radio, akafungulia nyimbo kwa nguvu vila kujali kama watu wamelala, sasa hivi kaanza kitu kingine, kila siku saa nane usiku huamka na kuanza kukemea mpaka asubuhi. Yaani kaka ni mambo mengi mpaka najuta, mume wangu hajwahi kunilalamikia hata siku moja lakini najua kuwa anaumia na vituko vya Mama yangu an ipo siku atachoka.
Naomba nisaidie Kaka, nifanye nini, nina ndugu zangu hapa Dar nikiwaambia wanisaidie kumchukua wanakataa kwani washamjua tabia zake wananiambia sikutumwa kumchukua kijijini. Yaani nina mdogo wangu yeye hana ndoa anaishi mwenyewe, nimemuambia amchukue Mama kabla hajanivunjia ndoa yangu yeye anasema angalau mimi nina ndoa ya kuvujja yeye akiishi na Mama hata ndoa hataipata, nisaidie, nifanye nini, nimfukuzeje wakati kijijini Baba hamtaki kwasabbau ya dini, nisaidie Kaka?
wachungaji wa hivi ni fake sanaMwambie mume wake (baba ako) aje kumchukua, tena kamwambie na mchungaji wake kuwa huyo mama kama hataki kwenda kwa mumewe kisa mumewe hajaokoka basi mchungaji wake amchukue nyumbani akakaye naye.
Vv