Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu

Usimfukuze ILA unamkumbusha naye anakwake. Mpeleke Kwake haraka sana sana kabla hujajuta. Achana na wapuuzi wanaodai utapata laana au sijuwi upuuzi gani. Na usipofanya hivyo utajuta wewe dada
 
Mtafutie mume mlokole na mchukue akae na mama yako hapo kwako,,roho mbaya ndio imekufanya umtoe mama yako kwa mume wake,sasa kwa wakati huu baba yako anapoka(kupoka,hapa wale wa masasi tumelewana)wapi?
 
Acha kutafta laana wewe binti.
 
Ndo ile unamwambia mkeo fanya mahemezi kesho baba na mama wanakuja kutuona yeye kwa roho mbaya yake anapotezea hafanyi maandalizi yoyote na pesa anaifanyia mambo mengine. Kesho inafika unamuuliza mbona hamna maandalizi yoyote anakwambia bana mi sijisikii vizuri wakija watakula kilichopo mara paap muda umefika wageni wanakuja anakuta ni baba na mama mkwe zako(wazazj wake). Asivo na akili anaanza kukulaumu kwa nini hukumuweka wazi kama ni wazazi wake ndo wanakuja.

We dada koma kabisa na roho yako mbaya
 
Mwambie mume wake (baba ako) aje kumchukua, tena kamwambie na mchungaji wake kuwa huyo mama kama hataki kwenda kwa mumewe kisa mumewe hajaokoka basi mchungaji wake amchukue nyumbani akakaye naye.

Vv
 
Ndo maana nakupenda
 
Ninachojua ninkwamba hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu mkuu.

Ishu hapo ilianzia kwa mamake mkwe kupelekwa kwake na yeye akaamua kumkatisha uroda babake🙈mwisho wa siku maovu yote yamemgeukia kupitia mamake.

Hivi kwani angekaa na mumewe wakazungumza namna ya mkusaidi mama wa mwanaume huko alipo bila kumleta ndani kwake wakakubaliana angepungukiwa nini??akaamua kuleta roho mbaya.

Hivi ukimwambia “honey,tumtafute mtu wa kuweza kukaa na mama huko alipo tukamuhudumia kila kitu na mwanamke akaonyesha ushirikiano 💯 wakati mwingine bila hata mumewe kujua, labda mama mkwe amwambie mwanae.au unakaa unapanga unamwambia mume siku fulani tutaenda kumuona mama(mama wa mwanaume)hapo umeshamnunulia vitu vya kutosha pengine hata hela ya kununulia hivyo vitu si ya mume bali ni yako(mwanamke).kama mnausafiri wenu mnamjazia vitu kibao kwa ajili yake mnafunga safari na watoto wenu mnaenda kumsalimia.”

Ni mwanaume gani ambae utaongea nae kwa hekima akashindwa kukuelewa??kama yupo basi kuna nati zitakuwa zimechomoka kichwani.

Wewe si utaki bugdha ya kuishi na mama mkwe?basi mreplace mwanae.kuwa mwanae mjali na umpende.si kufanya ili uonekane hapana bali unatoka moyoni na unaufurahia.

Si kila mama mkwe ni m’baya jamani.wapo yes viswaswadu kweli na watoto wao wanajua lakini utampa nani,umtupe!umpe nani!

Mleta uzi wewe ni mchoyo sana na unaroho mbaya sijapata ona.😳😳😳😳roho mbaya mpka kwa wazazi!!Hakyamama mleta mada umchoyo,roho mbaya,na chuki kali,kisasi pia unacho😡😡😡😡😡😡😡😡😫😫😫😫😫
 
Kupitia huu mwandiko wako tayari nimeweza kugundua una umbo la namna gani.[/SIZE]

piga ua atakua kimbaumbau flan hivi
[/QUOTE]
🤪🤪🤪🤪😉😉😉😉mkuu utaanzisha zogo humu ndani😝😝😝
 

Toa credit ulipoipokoa hii mada.
Facebook acc ya Eddy Makengo
 
Jamn ivi ni Mimi tu naona story za iddi makengo ni za kufikirika au Kuna mwingne ameshaona Hilo
 

Una mme mzuri!
 
umeona nia yako mbaya ilipokuweka, sasa umelipata tatizo mnapenda kutake adavantage ya watu. sasa mbaya kawa mama yako sio tena mama mkwe. ubinafsi haufai sasa mwiho pole sana natumai umejifunza kitu hapo utamalizana we na mama yako mzazi kibusara na wengine wmeona ila hawana cha kusema wataingilia mahusiano yako na mama yako mzazi so we utamalizana naye wengin wanavumilia tu hayo madoa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwana kulifind.......


Nimekuja kugundua kuwa haya mambo ya kulaumu mama wakwe huwa viko vichwani mwetu tu. Ni mentality tumejijengea na kuamini kuwa kila mama mkwe ni shida. Imagine mtu kajiandaa kabisa kuwa hawezi kuishi na mama mkwe huku hata huyo mama mkwe hamjui[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mwambie mume wake (baba ako) aje kumchukua, tena kamwambie na mchungaji wake kuwa huyo mama kama hataki kwenda kwa mumewe kisa mumewe hajaokoka basi mchungaji wake amchukue nyumbani akakaye naye.

Vv
wachungaji wa hivi ni fake sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…