Tangu zamani nilishaapa kuwa nikiolewa siwezi kuishi na Mama mkwe wangu

Hivi hii ndo ile mwana kulifind mwana kulipata?
 
Haya tupe mrejesho wana nzengo.
 
Safi sana hizo karaha unazipata kwa mama yako angekua mama wa mwenzio hapo ungejipa unabii kua ndo mana ulipata maono ya kutoishi nae [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Safi sana hizo karaha unazipata kwa mama yako angekua mama wa mwenzio hapo ungejipa unabii kua ndo mana ulipata maono ya kutoishi nae [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Panga namna ya kumrudisha kwa mumewe
Hiki ndio kitu cha kufanya. mrudishe Mama kwa mumewe, Waache wapambane na hali zao, isitoshe wewe sio mtoto pekee una ndugu zako pia, bebeni msalaba wenu kwa kupokezana.
 
Jinsi alivyo mama, ndivyo alivyo bintiye.
~~~~~~ Mithali za Suleimani~~~~
 
Kwa hiyo roho mbaya yako utakufa uwaachie mji.
 
Ana roho mbaya ya kishetani afu mchoyo
 
Acha nikucheke kwanza afu ndipo nikushauri dada 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ukiyataka mwenyewe sasa komaa nayo. Wewe hapo cha kufanya mnyime sadaka cha kwanza, pili likizo mwambieni mnaenda kjjn hivyo muongozane ila hilo lazima umshirikishe mumeo usimfiche mwambie unataka kufanya nini kuhusu mamako. Tatu, uwe unamkalisha na kumwambia ukweli usiogope akikuakasirikia wala nini. Nne, Fanya kumuondoa kwako mapema kabla haya lete sekeseke zaidi. Atakuja kusema mamako mkwe mchawi hapo hapatatosha atakuaibisha. La mwisho uachage kuwawazia watu mabaya kabla hauja wajua(mamamkwe).
 
Shida yako ulimleta Mama yako kumkomoa Mmeo kwa kumleta Mama Mkwe ambaye asingeweza kukaa pekee yake kijijini.Ili kuleta amani lazima mama yako arudi kijijini kwa sababu Mmewe yupo ambaye ni Baba yako.Harafu amehubiriwa vibaya kabisa Kanisani!
Kanisa halina Mamlaka ya kumwachanisha Mme na Mke kwa visingizio kwamba Mmoja ameokoka na mwingine hajaokoka.
Kwa kuwa Mama yako ana Mme ambaye ni Baba yako ni kutumia busara arudi kwa Baba yako!
 
Mama wakwe wengine Nuksi sana!! [emoji2214][emoji2214][emoji2214]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…