Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Kilo karibia bilion 2 si trilionHizo ni kilo trilllioni moja na ushee, nadhani sio sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilo karibia bilion 2 si trilionHizo ni kilo trilllioni moja na ushee, nadhani sio sawa
Fake news.
Yaani mnada mmoja katika kijiji kimoja ndio umeleta Tr 5.4??
![]()
Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa, DC atoa neno kwa wakulima
Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa, DC atoa neno kwa wakulimawww.muungwana.co.tz
Inawezekana wameuza sana ila inabidi wahakiki hizo data.Kwanza katika nchi yetu sidhani kama kuna Kijiji kinachozalisha au kiliwahi zalisha tani elfu moja za ufuta
Lumumba acheni kupika data,unazijua tani milioni moja wewe?Haya mambo chadema hawataki kabisa kuyasikia
Lete counter data zakoLumumba acheni kupika data,unazijua tani milioni moja wewe?
Vitu vingine ni common sense tu!Kama huna reasoning ability huwezi elewa!Lete counter data zako
Fake news.
Yaani mnada mmoja katika kijiji kimoja ndio umeleta Tr 5.4??
![]()
Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa, DC atoa neno kwa wakulima
Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa, DC atoa neno kwa wakulimawww.muungwana.co.tz
Ni tani ngapi?
"Leo (jana) tumeshuhudia Makampuni 3 kati ya 9 yakishinda tenda ya ununuzi wa ufuta wote uliokusanywa na wakulima wa Ruangwa,Nachingwea &Liwale(RUNALI).Mnada umefanyika ktk kijiji cha Mbondo,Bei ya Juu kwa kilo ni Tsh.2860 na wakulima wamekubali kuuza"~Rukia Muwango,DC NachingweaNi tani ngapi?