Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa mkoa wa LINDI

Kwanza katika nchi yetu sidhani kama kuna Kijiji kinachozalisha au kiliwahi zalisha tani elfu moja za ufuta
Inawezekana wameuza sana ila inabidi wahakiki hizo data.

Naona kuna mdau mwingine alifunguka hapa
 
Tarakimu elf 10 husema laki moja na laki moja husema milion moja usishangae kama mbunge alishindwa hesabu atakua huyu...
 
As far as i know ni kuwa mikoa ya lindi na mtwara zinazalisha around 42,000 tons. Sasa mtoa mada hizi ton 1.2 Million wamekusanya kwa miaka mingapi?? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni tani ngapi?
"Leo (jana) tumeshuhudia Makampuni 3 kati ya 9 yakishinda tenda ya ununuzi wa ufuta wote uliokusanywa na wakulima wa Ruangwa,Nachingwea &Liwale(RUNALI).Mnada umefanyika ktk kijiji cha Mbondo,Bei ya Juu kwa kilo ni Tsh.2860 na wakulima wamekubali kuuza"~Rukia Muwango,DC Nachingwea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…