Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa mkoa wa LINDI

Zitakuwa 188,400. Siyo milioni zote hizo lkn hilo zao nalo litavurugwa kubali usikubali
Tayari washa vuruga!, Bei ilitarajiwa kuchezea 3000/- na kuendelea. Ni kwamba serekali iliingia ktk mgogoro na wanunuzi wakubwa kwa kuwadai mabilioni ya kodi, kushikiria pasi za kusafiri za viongozi wa makampuni hayo na wengine kuswekwa ndani kabisa.
Hali hiyo imeathiri vipi bei?, Wanunuzi wakubwa waliogopa kununua wakiofia mizigo yao inaweza kukamatwa na kutaifishwa. Hali hiyo imefanya makampuni yenye uhitaji wa mzigo mdogo kuwa huru sana huko sokoni kwani wana uhakika wa kupata mzigo wautakao.
Uwepo wa kampuni kubwa na ndogo sokoni ni faida kwa mkulima kwani huleta ushindani na bei kupanda. Kila kampuni hupambana kupata mzigo inao utaka!. ........Zingatia msimu huu ufuta siyo mwingi kutokana na hali ya nvua ilivyo kuwa.
 
Hata korosho uzalishaji kwa mwaka haujafika tani 400,000 hivyo ufuta kwa mnada mmoja hauwezi kufikia kiasi hicho. Data zina utata mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…