INAUZWA Tank za maji lita 1000

INAUZWA Tank za maji lita 1000

EVIGT

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
526
Reaction score
415
Tank za lita 1000 zinauzwa. Zipo kwenye hali nzuri. Zipo zenye koki na zisizo na koki.
Bei 180,000/= (negotiable)

Njoo Godown, Temeke uchague.

Call/Whatsapp: +255 699 494650

IMG_20230117_114725.jpg
IMG_20230117_114723.jpg
 
Bei ya mwisho?
Mkuu bei inapungua kutokana na quality ya Tank utakalochagua, kuna wengine wanataka matank wakafanyie ujenzi tu so anachukua hata la hovyo hovyo kwa laki tu, kwa sababu after ujenzi linakuwa halifai tena,, so negotiation inafanyika ukija kulingana na quality ya Tank utakalochagua.
 
Hiyo bei sio mbaya sana sema kulitoa hapo lilipo hadi nakotaka liwe hiyo gharama bora ninunue huku kwa 230000
 
Back
Top Bottom