Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii design bomba sanaHapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa. View attachment 3072445
Weeh..wacha!Tanroads mi sijawahi muona mwenye akili na exposure wote zero pale
Ndugu Tabutupu acha uwongo. Pamoja na ubora na ukubwa wa barabara za Nairobi bado foleni ni kitu cha kawaida. Kinachosababisha doleni ni muda gani na watu wanaelekea wapi. Soma hapa chini kama utaoiona Dar katoka majiji 5 yenye foleni mbaya.Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa. View attachment 3072445
Kuhusu barabara za mitaa kwa barabara ya Kimara Kibaha upo sahihi...yaani mtu analazimika kupita njia moja tu bila kujali umefika au bado safari inaendelea. Utakatia huko huko mbele...na ikitokea ajali barabarani nyote mnasimama kama mna ajali. Hakuna Njia mbadala.Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa. View attachment 3072445
Unadhani anayeenda kununua Mzigo Karikoo na Anayeenda Lindi Mjini nani atakutana na vizingiti vya usafiri?Ndugu Tabutupu acha uwongo. Pamoja na ubora na ukubwa wa barabara za Nairobi bado foleni ni kitu cha kawaida. Kinachosababisha doleni ni muda gani na watu wanaelekea wapi. Soma hapa chini kama utaoiona Dar katoka majiji 5 yenye foleni mbaya.
View attachment 3072465
Watu mnadharau vya kwenu na kuabudu upuuzi tu
Nawaza hiyo mikato ingekuwa Dar Machinga hapo wangefurika balaa😆😆😆Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa. View attachment 3072445
Ubora wa Miundombinu ya Barabara au Majengo huenda sambamba na ubora wa akili walizonazo Wajenzi wa miundombinu yenyewe.Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa. View attachment 3072445
Sasa huo uchafu hapo utaufananisha na barabara 8 za kimara kibaha?Hapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa. View attachment 3072445
Nipo kibaha muda huu foleninkuanzia oicha ya ndege hadi mataa ya kwa MathiasKibaha ipi ina shida ya foleni!...hamia kenya
Barabara 8 za kimara zita prove ni uchafu zaid mataa yakianza kufanya kazi,Sasa huo uchafu hapo utaufananisha na barabara 8 za kimara kibaha?
Halafu kwa sasa Foleni ni sababu ya 2 way roads magari yamekuwa mengi sana hivyo inaleta usumbufu anzia Ubongo mpaka Kimara, japo wanatanua ila sidhani kama itakuwa ya kiwango kama Kimara-Kibaha ile
Jaribu kutembea Nairobi, jamaa kwenye miundombinu wametuacha mbali sanaNdugu Tabutupu acha uwongo. Pamoja na ubora na ukubwa wa barabara za Nairobi bado foleni ni kitu cha kawaida. Kinachosababisha doleni ni muda gani na watu wanaelekea wapi. Soma hapa chini kama utaoiona Dar katoka majiji 5 yenye foleni mbaya.
View attachment 3072465
Watu mnadharau vya kwenu na kuabudu upuuzi tu
Mataa ni kukosa akili kwa wahusika ambao wanashindwa kujenga underground bridges kwa ajili ya watembeaji kwa miguu. Otherwise its a very nice project na imesaidia kupafanya maeneo ya nje ya mji kuwa karibu.Barabara 8 za kimara zita prove ni uchafu zaid mataa yakianza kufanya kazi,
By the way sio nane tena, ni sita maana ile ya zamani katikati kuna nguzo za mataa, haitatumika tena