Tanroad hawajui barabara za kutatua foleni, wajifunze kenya

Tanroad hawajui barabara za kutatua foleni, wajifunze kenya

Nipo kibaha muda huu foleninkuanzia oicha ya ndege hadi mataa ya kwa Mathias
Kuanzia kwa Mathias huko si ni njia mbili. Foleni haikwepeki mkuu, huwezi kutegemea njia 2 kwa nyakati za sasa. It was worth it during the 1980s-90s magari yalikuwa machache ila kwa population ya sasa na hali ya uchumi its a big joke. Mradi wa njia 8 ulitakiwa uendelezwe hadi chalinze.
 
Mataa ni kukosa akili kwa wahusika ambao wanashindwa kujenga underground bridges kwa ajili ya watembeaji kwa miguu. Otherwise its a very nice project na imesaidia kupafanya maeneo ya nje ya mji kuwa karibu.
Wakati hii project inaanza tulishauri sana ila hawakuelewa.
 
Wakati hii project inaanza tulishauri sana ila hawakuelewa.
Sikuwahi kuona sababu ya kujaza mataa kila baada ya kilometre 1 au 2

Ile ni inter regional highway inayo connect mikoa mingine. Watu wanapaswa watembee.
 
Hao wa mamtoni walijifunza wapi? Ni kutumia tu akili ya kawaida kabisa ili kuboresha namna nzuri ya kupunguza foleni bila kuhitaji kufika huko mwamtoni.
Unasoma mbeya,chuo UDSM. kazi Mwanza,hutoelewa mamtoni wanafanyeje,na mamton wanaenda viongozi .
 
Sasa Tanroads kama wameshindwa tu hata kuziba mashimo kwenye lami zetu ndio wataweza hayo unayoyasema?
 
Unadhani anayeenda kununua Mzigo Karikoo na Anayeenda Lindi Mjini nani atakutana na vizingiti vya usafiri?

Je Wa Lindi atajivuna kuwa yuko kwenye jiji bora kwa kuwa anatumia muda mfupi kumaliza shughuli zake?..

Hapo Majiji yamejaa kutokana na umuhimu wa shughuli za uchumi na sio kwa sababu ya miundombinu mibovu.
Akili ya Bush Dokta kisirani tupu. Kwa hiyo Lindi nayo ni Jiji?? Wewe umekosea kuja JF, rudi Facebook hapa utaumiza fuvu lako bure
 
Jaribu kutembea Nairobi, jamaa kwenye miundombinu wametuacha mbali sana
Kenha ni tofauti kabisa na Tanroads.
Kuna Nairobi nyingine zaidi ya niliyoitembea? Nainaijuwa vizuri tu mbona. Hatupitani sana
 
Sikuwahi kuona sababu ya kujaza mataa kila baada ya kilometre 1 au 2

Ile ni inter regional highway inayo connect mikoa mingine. Watu wanapaswa watembee.
Ni kweli mkuu lakini, ni madereva wachache sana Tanzania waliopata the right training ikiwemo kwenda Chuo. Wengi huletewa leseni nyumbani.

Hii inaongeza risk ya ajali n.k Bado kudhibiti mwendo kwa Kiasi Fulani ni muhimu kwa nchi yetu. Usela ni mwingi sana Barabarani.
 
Kuna Nairobi nyingine zaidi ya niliyoitembea? Nainaijuwa vizuri tu mbona. Hatupitani sana
Thika by pass southern by pass, express lane tunazo hapa Tanzania? Wenzetu walishaacha kutumia taa (robots) umeona sisi tunavyozirundika?
 
Nawaza hiyo mikato ingekuwa Dar Machinga hapo wangefurika balaa😆😆😆
Mbezi pale wameziba barabara yote na viamiamvuli kama takataka mitaro imejaa uchagu na machinga wamejenga juu ya mitaro,halafu jioni ccm wa mbezi wanapita kuchukua ushuru,aibu kweli
 
Acha uwongo wewe
Kukwambia nipo kibaha unaona nakuongopea nikikwambia miji ya maana? Kibaha mi naenda shamba kila weekend.
Haya narud, foleni ipo kwa mfipa kuelekea kwa mathias.
 
Sikuwahi kuona sababu ya kujaza mataa kila baada ya kilometre 1 au 2

Ile ni inter regional highway inayo connect mikoa mingine. Watu wanapaswa watembee.
Ilitakiwa kujengwe under pass ili watu wapite chini highway iachwe huru, wakenya wamefanya hivi kwenye bypass roads zao zote, unatembea 30km hukutani na junction yoyote
 
Thika by pass southern by pass, express lane tunazo hapa Tanzania? Wenzetu walishaacha kutumia taa (robots) umeona sisi tunavyozirundika?
Hizo by pass za Thika na Mombasa Expressway kweli zipo, lakini hazijatatua matatizo ya foleni pale CBD. Zinarahisisha tu kutoka Mjini.

Mix ya robot na hizo interchange lazima zitumike kwa pamoja
 
Hizo by pass za Thika na Mombasa Expressway kweli zipo, lakini hazijatatua matatizo ya foleni pale CBD. Zinarahisisha tu kutoka Mjini.

Mix ya robot na hizo interchange lazima zitumike kwa pamoja
Umeona zile robots za kuanzia mbagala hadi uhasibu? Zitatatua foleni kweli? kwa akili ya kawaida tu?
 
Tulipiga hatua nzuri sana kwenye miaka ile mi5 ya Mwendazake. Sasa hivi naona tumepunguza kasi, inabidi tuliamshe dude tena tuanze kukimbia.
Nadhani una hangover ya utawala uliopita. Ishi Leo Jana ishapita.

Mfano sasa, kuna mageuzi makubwa yanafanyika kuconnect mwendokasi DSM yote. Mradi huo ukiisha na Ukiwa effective utaboresha public transport DSM.

Kumbuka kwenye mazingira haya ambayo resource ni chache seikali haiwezi kufanya kila kitu at once.
 
Back
Top Bottom