Kuanzia kwa Mathias huko si ni njia mbili. Foleni haikwepeki mkuu, huwezi kutegemea njia 2 kwa nyakati za sasa. It was worth it during the 1980s-90s magari yalikuwa machache ila kwa population ya sasa na hali ya uchumi its a big joke. Mradi wa njia 8 ulitakiwa uendelezwe hadi chalinze.Nipo kibaha muda huu foleninkuanzia oicha ya ndege hadi mataa ya kwa Mathias
Wakati hii project inaanza tulishauri sana ila hawakuelewa.Mataa ni kukosa akili kwa wahusika ambao wanashindwa kujenga underground bridges kwa ajili ya watembeaji kwa miguu. Otherwise its a very nice project na imesaidia kupafanya maeneo ya nje ya mji kuwa karibu.
Sikuwahi kuona sababu ya kujaza mataa kila baada ya kilometre 1 au 2Wakati hii project inaanza tulishauri sana ila hawakuelewa.
Acha uwongo weweNipo kibaha muda huu foleninkuanzia oicha ya ndege hadi mataa ya kwa Mathias
Unasoma mbeya,chuo UDSM. kazi Mwanza,hutoelewa mamtoni wanafanyeje,na mamton wanaenda viongozi .
Akili ya Bush Dokta kisirani tupu. Kwa hiyo Lindi nayo ni Jiji?? Wewe umekosea kuja JF, rudi Facebook hapa utaumiza fuvu lako bureUnadhani anayeenda kununua Mzigo Karikoo na Anayeenda Lindi Mjini nani atakutana na vizingiti vya usafiri?
Je Wa Lindi atajivuna kuwa yuko kwenye jiji bora kwa kuwa anatumia muda mfupi kumaliza shughuli zake?..
Hapo Majiji yamejaa kutokana na umuhimu wa shughuli za uchumi na sio kwa sababu ya miundombinu mibovu.
Kuna Nairobi nyingine zaidi ya niliyoitembea? Nainaijuwa vizuri tu mbona. Hatupitani sanaJaribu kutembea Nairobi, jamaa kwenye miundombinu wametuacha mbali sana
Kenha ni tofauti kabisa na Tanroads.
Mama anakuona ujueHapa ni kenya, huwezi kuta vitu kama hivi vimwjengwa na tanroad. Kimara kibaha barabara imekua kero kwa sababu hawakutumia akili, stop over, suka, temboni, kwa msuguri, kibamba, kiluvya etc ni baadhi yaaeneo hayalutakiwa kuwekwa mataa. View attachment 3072445
Ni kweli mkuu lakini, ni madereva wachache sana Tanzania waliopata the right training ikiwemo kwenda Chuo. Wengi huletewa leseni nyumbani.Sikuwahi kuona sababu ya kujaza mataa kila baada ya kilometre 1 au 2
Ile ni inter regional highway inayo connect mikoa mingine. Watu wanapaswa watembee.
Thika by pass southern by pass, express lane tunazo hapa Tanzania? Wenzetu walishaacha kutumia taa (robots) umeona sisi tunavyozirundika?Kuna Nairobi nyingine zaidi ya niliyoitembea? Nainaijuwa vizuri tu mbona. Hatupitani sana
Mbezi pale wameziba barabara yote na viamiamvuli kama takataka mitaro imejaa uchagu na machinga wamejenga juu ya mitaro,halafu jioni ccm wa mbezi wanapita kuchukua ushuru,aibu kweliNawaza hiyo mikato ingekuwa Dar Machinga hapo wangefurika balaa😆😆😆
Kukwambia nipo kibaha unaona nakuongopea nikikwambia miji ya maana? Kibaha mi naenda shamba kila weekend.Acha uwongo wewe
Ilitakiwa kujengwe under pass ili watu wapite chini highway iachwe huru, wakenya wamefanya hivi kwenye bypass roads zao zote, unatembea 30km hukutani na junction yoyoteSikuwahi kuona sababu ya kujaza mataa kila baada ya kilometre 1 au 2
Ile ni inter regional highway inayo connect mikoa mingine. Watu wanapaswa watembee.
Nani hapajui kibaha babuKukwambia nipo kibaha unaona nakuongopea nikikwambia miji ya maana? Kibaha mi naenda shamba kila weekend.
Haya narud, foleni ipo kwa mfipa kuelekea kwa mathias.
Hizo by pass za Thika na Mombasa Expressway kweli zipo, lakini hazijatatua matatizo ya foleni pale CBD. Zinarahisisha tu kutoka Mjini.Thika by pass southern by pass, express lane tunazo hapa Tanzania? Wenzetu walishaacha kutumia taa (robots) umeona sisi tunavyozirundika?
Tulipiga hatua nzuri sana kwenye miaka ile mi5 ya Mwendazake. Sasa hivi naona tumepunguza kasi, inabidi tuliamshe dude tena tuanze kukimbia.Afrika ya Mashariki inasonga mbele, safi sana nasisi Tanzania tujitahidi.
Umeona zile robots za kuanzia mbagala hadi uhasibu? Zitatatua foleni kweli? kwa akili ya kawaida tu?Hizo by pass za Thika na Mombasa Expressway kweli zipo, lakini hazijatatua matatizo ya foleni pale CBD. Zinarahisisha tu kutoka Mjini.
Mix ya robot na hizo interchange lazima zitumike kwa pamoja
Ishu sio kama unapajua kibaha au la, ishu ni foleni ya kwa mathias kwenye mataaNani hapajui kibaha babu
Nadhani una hangover ya utawala uliopita. Ishi Leo Jana ishapita.Tulipiga hatua nzuri sana kwenye miaka ile mi5 ya Mwendazake. Sasa hivi naona tumepunguza kasi, inabidi tuliamshe dude tena tuanze kukimbia.