Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Wapo tu ila Dili za kuziba viraka barabarani huwa hawachelewi.Sahini kabisa mkuu, pia lile bump hapo jirani na stend ya Dodoma yaani limechakaa vibaya sana
Msanvu toka lini ikawa dodoma mkuu? Sema msanvu stend Morogoro. Hv pale zebra inakuwa wapi maana ile ninjia panda ya Iringa, dodoma na Dar es salaam?Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
Mazoea mpaka madhara yatokeeNi mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
Wewe kama hupajui kaa kimya wenzio wameelewa.Msanvu toka lini ikawa dodoma mkuu? Sema msanvu stend Morogoro. Hv pale zebra inakuwa wapi maana ile ninjia panda ya Iringa, dodoma na Dar es salaam?
Stand ya dodoma ni maeneo karbu na tanesco mkuuMsanvu toka lini ikawa dodoma mkuu? Sema msanvu stend Morogoro. Hv pale zebra inakuwa wapi maana ile ninjia panda ya Iringa, dodoma na Dar es salaam?
Msamvu kuna stand kuu ( ambayo ndio unaifahamu).Msanvu toka lini ikawa dodoma mkuu? Sema msanvu stend Morogoro. Hv pale zebra inakuwa wapi maana ile ninjia panda ya Iringa, dodoma na Dar es salaam?
Mkuu dodoma ulienda zamani stendi iliyokuwa karibu na tanesco ilikuwa jamartin nyingine ya basi ilikuwa kwenye mzunguko wakwenda bungeni ila hii mpya hipo nanenane karibu na soko kuu la Ndugai.Stand ya dodoma ni maeneo karbu na tanesco mkuu
Nje ya stand ya msamvu barabara ya kuelekea Dodoma kuna hiyo sehemu inajulikana kama stendi ya DodomaMsanvu toka lini ikawa dodoma mkuu? Sema msanvu stend Morogoro. Hv pale zebra inakuwa wapi maana ile ninjia panda ya Iringa, dodoma na Dar es salaam?
Mkuu nadhan ww hujui watu wanazungumzia mada gani hapa tunamaanisha morogoro ukiwa geti la kuingilia magar ndn ya msanvu kwa upand wa pil kuna stand ndg ya magar yanayoenda gairo na dom hapo nd walibatiza stand ya dodoma mkuuMkuu dodoma ulienda zamani stendi iliyokuwa karibu na tanesco ilikuwa jamartin nyingine ya basi ilikuwa kwenye mzunguko wakwenda bungeni ila hii mpya hipo nanenane karibu na soko kuu la Ndugai.
Hapo mpaka wagongwe ndo wataamka
Jamaa hailewi SS watu wa Moro ulisema stand ya Dodoma tunaelewa wee kalia kusema jamatini mara ndugai wako.Mkuu dodoma ulienda zamani stendi iliyokuwa karibu na tanesco ilikuwa jamartin nyingine ya basi ilikuwa kwenye mzunguko wakwenda bungeni ila hii mpya hipo nanenane karibu na soko kuu la Ndugai.
Shida sana mkuu sijui hawajui majukumu Yao?Hata katika vituo vya Njuweni na Shell ya Maili Moja Kibaha hali ni hiyo hiyo. Pundamilia zimefutika lakini TANROADS wapo kimya.
Swadakta yeye anakomaa sijui njedengwa,ilazo,kisiasa, mtumba, sio Dodoma mjiniMkuu nadhan ww hujui watu wanazungumzia mada gani hapa tunamaanisha morogoro ukiwa geti la kuingilia magar ndn ya msanvu kwa upand wa pil kuna stand ndg ya magar yanayoenda gairo na dom hapo nd walibatiza stand ya dodoma mkuu
We jamaa muhaya wa wapi??Msanvu toka lini ikawa dodoma mkuu? Sema msanvu stend Morogoro. Hv pale zebra inakuwa wapi maana ile ninjia panda ya Iringa, dodoma na Dar es salaam?
Unatuaibisha wahaya wenzio KalyE'mpunuMkuu dodoma ulienda zamani stendi iliyokuwa karibu na tanesco ilikuwa jamartin nyingine ya basi ilikuwa kwenye mzunguko wakwenda bungeni ila hii mpya hipo nanenane karibu na soko kuu la Ndugai.
Hakika karibu na Sheli za Lake na ATNNje ya stand ya msamvu barabara ya kuelekea Dodoma kuna hiyo sehemu inajulikana kama stendi ya Dodoma
Swadakta nafkiri atakuwa ameelewaMsamvu kuna stand kuu ( ambayo ndio unaifahamu).
Eneo lile lile la msamvu, uelekeo wa Dodoma, kuna sehemu inaitwa "stendi ya dodoma", ni karibu na mitambo ya Tanesco