DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna yale mataa ya msamvu shule ndio kabisa hayafatwi yani....moro jamaniii
 
Trafik kaingiaje hapo
Traffic ndo msimamizi wa Sheria, unakuta Jamaa kapita zebra au maataa yamemsimamisha na mbele ya mataa Kuna traffic, lkn unakuta traffic wanakula buyu km vile hawaoni....
 
Sku nyingine mwambie mwenyekiti wa mtaa /mtendaj....aandike barua ya maombi kwenda tanroads ya mkoa husika.....mtahudumiwa haraka!!!!
Mkuu mpaka aambiwe wakati na wao wanapita hapo Kila siku
 
Back
Top Bottom