TANROADS, Barabara ya Arusha (Tengeru) kwenda Moshi imewashinda kuitengeneza, imejaa viraka na mashimo

TANROADS, Barabara ya Arusha (Tengeru) kwenda Moshi imewashinda kuitengeneza, imejaa viraka na mashimo

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Niwe wazi na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Serikali imeshindwa kujenga Kwa kiwango cha kimataifa barabara kutoka Tengeru kwenda Moshi mjini?
Sasa imeanza kuziba viraka barabara yote hiyo tena bila aibu!

Tanroads wamelala usingizi.

Samia anagawa hela kwenye Mchezo.

Barabara hiyo inapitisha malori kwenda Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Mwanza na inaunganisha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro international airport.

Ni aibu tena CCM haioni aibu iliyopo.
 
Kuna ile kutokea impala round about kuelekea njiro hadi relini pale ni mtego wa ajali.

Sijui ni Tanroads ama Tarura. Waambiane wenyewe.

Ila hii nchi bana kama dar tu wanaposhinda hawafanyi lolote huko kwingine inahitaji uvumilivu.
 
Back
Top Bottom