ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nilijua una akili kumbe umejaa mavi kichwani.Nilijua unaakili nowdays kumbe bado zezeta!!! Kwa hiyo wajenge flyover ya mabillion ya fedha kupendezesha mji???
Kuanzia Kisumu,Eldoret,Nakuru,Mombasa na Nairobi kote huko wamejenga Interchange na flyover.Nnje ya mada hii interchange haipo kisumu kenya!
Kama sijakosea ni tetteh or sofoline interchange in Ghana
Siunaona[emoji23][emoji23] wewe akili huna "dola billion" nani kasema??? Wewe zezeta bado hujakua.Nilijua una akili kumbe umejaa mavi kichwani.
Unaijua Dola Bilioni kwanza? Pili ukiacha kwamba traffic inakuwa na kuongezeka ni wajibu wao ndio kupendezesha Miji.
Barabara ni pambo la Miji na ndio maana unaona hata majengo pamoja na ku serve purpose kuu yanajengwa Ili yapendezeshe.
Punguza kuwa mpumbavu basi.
Wewe huna akili hata kidogo(zezeta) Tuanze kwanza interchange/ flyover wherever inajengwa kupendezesha mji au kwaajili ya uhitaji??Kuanzia Kisumu,Eldoret,Nakuru,Mombasa na Nairobi kote huko wamejenga Interchange na flyover.
The likes to Uganda Jinja,Entebe,Kampala Hadi Gulu.
Ni nyie mbumbumbu wa TanRoads ndio mumejaza mavi kichwani na Mabarabara yenu ya makokoto.
Umejaza Kamasi kichwani,hii ya Dodoma Ring Road inajengwa Nje ya Mji huko Kuna mahitaji gani?Wewe huna akili hata kidogo(zezeta) Tuanze kwanza interchange/ flyover wherever inajengwa kupendezesha mji au kwaajili ya uhitaji??
Pili Unajua maana ya interchange au unaisikiaga tu kwenye taarifa ya habari??
Hivi viflyover vya kupanga matofali ambavyo vipo hapo kenya ni afadhali zetu.
Na Mimi nasema majinga ni hayo Majitu ya TanRoads huwezi leta kitu substandard au kibaya Kwa kisingizio Cha gharama.Nilichosema ni kuwa suala la Ujenzi linategemea utolewaji wa fedha kutoka Serikalini.
JPM alithubutu kuanza ujenzi wa hizo flyovers na barabara pana ya Kimara mwisho hadi Kibaha.
Kwasasa Nchi ina miradi mingi ya Kimkakati inayohitaji fedha nyingi, hivyo nina uhakika hizo design huwenda zipo tayari zikisubiri fedha.
Kwa taarifa nilizonazo madeni ya Wakandarasi kwa miradi iliyofanyika na inayoendelea yamefikia shilingi 2.6T
Na binafsi ningekuwa pale juu kama Rais wa Nchi, ningejenga barabara ya njia 6 kutokea pale Kibaha iende hadi Morogoro ili kusukuma maendeleo.
Pia ningejenga fly over kutoka Ubungo iende hadi pale Mbagala pamoja na kuzuia malori kutumia barabara badala yake ningeikamilisha reli ya SGR ili malori yawe yanaishia Morogoro na hayo malori yangekuwa yanapakilia mizigo yao kule
Nakazia...hapo ni Luanda Angola🏃Nnje ya mada hapo sio kisumu kenya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimekwambia akili huna wewe( zezeta)Umejaza Kamasi kichwani,hii ya Dodoma Ring Road inajengwa Nje ya Mji huko Kuna mahitaji gani?
View attachment 2867257
Pili unapochagua Ramani Kali ya nyumba Huwa unachagua mahitaji au kupendeza?
Dodoma Kuna congestion ipi ya kuzidi Tanzam Road?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimekwambia akili huna wewe( zezeta)
Hiyo ring road inajengwa strategically kupunguza congestion katika ya jiji la dodoma ambalo linakua kwa kasi! Kwa hiyo uhitaji upo[emoji664].
Yaani wewe akili huna kabisa nasema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili kama hizi ndio zimejaa Tzn SasaSi uhamie kisumu tu.
Sisi ndio wananchi!wazalendo.Akili kama hizi ndio zimejaa Tzn Sasa
Pesa zote mmenunua magari na nauli za kwenda kuzurura njeNilichosema ni kuwa suala la Ujenzi linategemea utolewaji wa fedha kutoka Serikalini.
JPM alithubutu kuanza ujenzi wa hizo flyovers na barabara pana ya Kimara mwisho hadi Kibaha.
Kwasasa Nchi ina miradi mingi ya Kimkakati inayohitaji fedha nyingi, hivyo nina uhakika hizo design huwenda zipo tayari zikisubiri fedha.
Kwa taarifa nilizonazo madeni ya Wakandarasi kwa miradi iliyofanyika na inayoendelea yamefikia shilingi 2.6T
Na binafsi ningekuwa pale juu kama Rais wa Nchi, ningejenga barabara ya njia 6 kutokea pale Kibaha iende hadi Morogoro ili kusukuma maendeleo.
Pia ningejenga fly over kutoka Ubungo iende hadi pale Mbagala pamoja na kuzuia malori kutumia barabara badala yake ningeikamilisha reli ya SGR ili malori yawe yanaishia Morogoro na hayo malori yangekuwa yanapakilia mizigo yao kule
unadhani hawa wanaakili?? Mtu anaokota picha anasema kisumu!! Mwingine anataka mabillion ya fedha yajenge flyover sehemu ambayo hamna uhitaji ili kufanya beautification[emoji53][emoji53]Si uhamie kisumu tu.
Wapi hakuna uhitaji? Dodoma Kuna congestion ipi kuzidi junction ya Mafiat au CBD ya Mwanjelwa au Junction ya Meta?unadhani hawa wanaakili?? Mtu anaokota picha anasema kisumu!! Mwingine anataka mabillion ya fedha yajenge flyover sehemu ambayo hamna uhitaji ili kufanya beautification[emoji53][emoji53]
Yaani the only purpose ni beautification,,,🙆🙆🙆🙆🙆umenifanya niikumbuke Tanzanite bridgeunadhani hawa wanaakili?? Mtu anaokota picha anasema kisumu!! Mwingine anataka mabillion ya fedha yajenge flyover sehemu ambayo hamna uhitaji ili kufanya beautification[emoji53][emoji53]
Kuhusu gharama bado sijafanya tafiti ila kwa Tanzania gharama zimepaa kutoka Milioni 800 mwaka 2014 hadi kufikia shilingi 1.6Bilioni mwaka 2022Na Mimi nasema majinga ni hayo Majitu ya TanRoads huwezi leta kitu substandard au kibaya Kwa kisingizio Cha gharama.
Ndio nauliza hizo gharama ziko Tzn tuu? Huko kwingine wanakojenga wanatumia matope?
Ni akili ndogo tuu na za kijinga,si unaona Moja lipo hapo linaongelea mahitaji,ni wapi hakuna mahitaji au mahitaji Yako static hayakui?
Harafu huko TanRoads Hawana Coordination nzuri Wala vipaombele ni Bora liende.
Acha matusi....jikite kwenye hojaWapi hakuna uhitaji? Dodoma Kuna congestion ipi kuzidi junction ya Mafiat au CBD ya Mwanjelwa au Junction ya Meta?
Au hayo mahitaji unayaona wewe punga peke yako?
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.
Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.
View attachment 2867192
Hilo ni tatizo la Juu kulePesa zote mmenunua magari na nauli za kwenda kuzurura nje