Barabara ni professional designs, na Kuna vigezo vya kuruhusu barabara iweze kukubalika kujengwa, hapa Dar barabara inakwepa nguzo ya umeme, barabara hakithi viwango vya slope, barabara inajengwa Haina nafasi ya mtumiaji mwingine, mwenda Kwa miguu na mtaalamu WA Tanroads anaona ni SAWA, kama barabara ya kimara kibaha, design ni mbovu na inachangia vifo vingi vya wavukaji, hakuna kizuia jua au mvua, Engineer WA Tanroads anakuja Huku akiwa ameshina msosi anasema tupo complete asilimia 100, like seriously!!
Kuna barabara inatoka Hapa Dar Kwa Msuguri kwenda Malamba mawili, hii barabara imejengwa Kwa zege na gharama kubwa ila Haina upana WA watumiaji wengine, watoto wanagongwa Kila siku, who cares, usanifu WA barabara ni kuangalia matumizi ya watumiaji wote, ila Hawa Tanroads hawajali kutumia utaalamu wao!! Narudia ni Janga