TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

Wewe huna akili ila umekaririshwa na inaonekana ni mshamba Fulani huna exposure yeyote.

Hii ndio hasara ya kuchukua maskini Moja kwa Moja kuwapa kazi zinazohitaji kujiongeza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tulia wewe zezeta
 
Ndio hasara ya maskini akikaririshwa kitu.

Nenda Kwa RM wa TanRoads Kigoma kajifunze jinsi alivyopendezesha Mji Kwa Barabara harafu uje ujione ulivyo mbumbumbu kisha ujidharau.

Yule Mzee angekuwa CEO wa TanRoads Kwa sababu anajitambua ndio angebadili hiyo taasisi ya majinga wengi kama wewe.
 
Nimefika Kigoma, jamaa amejitahidi sana japo hana kilomita nyingi za Lami lakini kwa zile zile chache Jamaa amejitahidi sana
 
1.kwanza anaedesign barabara si tanroads ni maconsultant mfano mwendokasi imekua design na tanconsult..Tanroad yeye ni clients

2. Tanroads hushirikiana na consultant kuiba hela na njia wanayotumia ni kwenye variations

3.lakini consultant huchukua rushwa pia kwa contractor na Tanroad pia hichukua hela kwa contractor

4.kwa hiyo mwishoni huwa wanabadili michoro na kujenga hizo flyover palipotakiwa kujengwa interchange

5.mfano mzuri ni interchange ya ubungo gharama zilizidi ikabidi mchoro ubadilishwe mara tatu wakisingizia gharama zimeongezeka

6.wanasiasa pia hushirikiana na mkandandarasi kula hela ya serikali...hapa wao wanamsaidia kupata kazi then wao hupewa 1 to 5% ya hela mzima wa mradi

7.hapa yumo waziri na circle ya viongozi wachache wa juu...umafia unaofanyiaka hapa unategemea kiongozi wa juu yupo na kampuni gani
Upo sahihi kabisa.

Nimefanya kazi na consultant company mbili za mipango miji kwa miaka minne

Wanachukua tenda ya pesa nyingi sana za serikali na ninyi wa data compilation na collectors mnalipwa pesa za hovyo

Hawa watu wanaiibia serikali pesa nyingi sana

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Harafu yamekaririshwa ooh gharama.Nchi maskini kama Rwanda inajenga barabara nzuri na za Kisasa kwenye Miji Yao ,Je huko gharama hazihusiki?

Ushamba,ujinga na local thinking ndio zinawasumbua.Maofisi ya Serikali yamejaa watu wengi sana wasio na uwezo wa kufikiria na wamekariri ila kujiongeza hamna.

Kuna Jamaa wa TanRoads Kigoma yule RM wao ameamua kwenda kinyume na hayo mambumbu kiasi kwamba kila mtu anamsifu na mara kadhaa wameambiwa wakajifunze kule.
Unajielewa kweli wewe??? Sehemu pakiwa na uhitaji flyover/interchange/overpass wherever lazima ijengwe bila kujali gharama na ndo hivyo serikali inafanya.

Sasa wewe unataka watu wajenge- jenge tu bila uhitaji???
 
Umesema sahihi

Suala la kupungua kwa maadili limechangia pakubwa kufikia huku.

Ndiyo maana leo hii barabara yenye design life ya miaka 20 unakuta baada ya miaka 5 tu unakuta imeshaanza kuzibwa Viraka
Barabara ni professional designs, na Kuna vigezo vya kuruhusu barabara iweze kukubalika kujengwa, hapa Dar barabara inakwepa nguzo ya umeme, barabara hakithi viwango vya slope, barabara inajengwa Haina nafasi ya mtumiaji mwingine, mwenda Kwa miguu na mtaalamu WA Tanroads anaona ni SAWA, kama barabara ya kimara kibaha, design ni mbovu na inachangia vifo vingi vya wavukaji, hakuna kizuia jua au mvua, Engineer WA Tanroads anakuja Huku akiwa ameshina msosi anasema tupo complete asilimia 100, like seriously!!
Kuna barabara inatoka Hapa Dar Kwa Msuguri kwenda Malamba mawili, hii barabara imejengwa Kwa zege na gharama kubwa ila Haina upana WA watumiaji wengine, watoto wanagongwa Kila siku, who cares, usanifu WA barabara ni kuangalia matumizi ya watumiaji wote, ila Hawa Tanroads hawajali kutumia utaalamu wao!! Narudia ni Janga
 
Ndio hasara ya maskini akikaririshwa kitu.

Nenda Kwa RM wa TanRoads Kigoma kajifunze jinsi alivyopendezesha Mji Kwa Barabara harafu uje ujione ulivyo mbumbumbu kisha ujidharau.

Yule Mzee angekuwa CEO wa TanRoads Kwa sababu anajitambua ndio angebadili hiyo taasisi ya majinga wengi kama wewe.
Wewe akili huna!
 
Harafu yamekaririshwa ooh gharama.Nchi maskini kama Rwanda inajenga barabara nzuri na za Kisasa kwenye Miji Yao ,Je huko gharama hazihusiki?

Ushamba,ujinga na local thinking ndio zinawasumbua.Maofisi ya Serikali yamejaa watu wengi sana wasio na uwezo wa kufikiria na wamekariri ila kujiongeza hamna.

Kuna Jamaa wa TanRoads Kigoma yule RM wao ameamua kwenda kinyume na hayo mambumbu kiasi kwamba kila mtu anamsifu na mara kadhaa wameambiwa wakajifunze kule.
Mkuu, yule Tanroad Regional Manager wa Kigoma namfagilia sana kwa ubunifu na uthubutu, amefanya mengi yanayoonekana kwenye miundombinu ya Kigoma... Jamaa anastahili kupokea maua yangu na nashauri asihamishwe hadi atakapostaafu.

Mara kadhaa nimetembelea Rwanda yote, roho huwa inaniuma sana na kujiuliza: wanyarwanda barabara zao zinajengwa na wataalamu gani? Ule usemi wa mali ya umma haina mwenyewe umeathiri pakubwa ubongo wa watanzania hasa waajiriwa Serikalini.
 
Upo sahihi kabisa.

Nimefanya kazi na consultant company mbili za mipango miji kwa miaka minne

Wanachukua tenda ya pesa nyingi sana za serikali na ninyi wa data compilation na collectors mnalipwa pesa za hovyo

Hawa watu wanaiibia serikali pesa nyingi sana

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Tanroads anakuwa na nafasi kubwa kusahihisha mapungufu Kwa kupitia michoro wakipewa, ila yeye anakosoa majina yaliyokosewa tuu!!! Mengine Hana shida nayo!! Sasa mwenye shida ni Nani kama Sio Tanroads
 
Mkuu, yule Tanroad Regional Manager wa Kigoma namfagilia sana kwa ubunifu na uthubutu, amefanya mengi yanayoonekana kwenye miundombinu ya Kigoma... Jamaa anastahili kupokea maua yangu na nashauri asihamishwe hadi atakapostaafu.

Mara kadhaa nimetembelea Rwanda yote, roho huwa inaniuma sana na kujiuliza: wanyarwanda barabara zao zinajengwa na wataalamu gani? Ule usemi wa mali ya umma haina mwenyewe umeathiri pakubwa ubongo wa watanzania hasa waajiriwa Serikalini.
Ukifuatlia Gharama hivi vya kwetu hovyo ni ghali zaidi
 
Mkuu, yule Tanroad Regional Manager wa Kigoma namfagilia sana kwa ubunifu na uthubutu, amefanya mengi yanayoonekana kwenye miundombinu ya Kigoma... Jamaa anastahili kupokea maua yangu na nashauri asihamishwe hadi atakapostaafu.

Mara kadhaa nimetembelea Rwanda yote, roho huwa inaniuma sana na kujiuliza: wanyarwanda barabara zao zinajengwa na wataalamu gani? Ule usemi wa mali ya umma haina mwenyewe umeathiri pakubwa ubongo wa watanzania hasa waajiriwa Serikalini.
Ndio hivyo, TanRoads imejaa mbumbumbu mfano wa Beginning 😁😁
 
Barabara ni professional designs, na Kuna vigezo vya kuruhusu barabara iweze kukubalika kujengwa, hapa Dar barabara inakwepa nguzo ya umeme, barabara hakithi viwango vya slope, barabara inajengwa Haina nafasi ya mtumiaji mwingine, mwenda Kwa miguu na mtaalamu WA Tanroads anaona ni SAWA, kama barabara ya kimara kibaha, design ni mbovu na inachangia vifo vingi vya wavukaji, hakuna kizuia jua au mvua, Engineer WA Tanroads anakuja Huku akiwa ameshina msosi anasema tupo complete asilimia 100, like seriously!!
Kuna barabara inatoka Hapa Dar Kwa Msuguri kwenda Malamba mawili, hii barabara imejengwa Kwa zege na gharama kubwa ila Haina upana WA watumiaji wengine, watoto wanagongwa Kila siku, who cares, usanifu WA barabara ni kuangalia matumizi ya watumiaji wote, ila Hawa Tanroads hawajali kutumia utaalamu wao!! Narudia ni Janga
Kama hali ni hiyo basi tuna safari ndefu sana kupiga hatua
 
Shida huyo jamaa Mzuri anaweza kuwa hana connection ya kumsaidia kuteuliwa kwenye hiyo post

Maana Nchi hii kama hauna connection utasubiri sana kwenye Uteuzi
Ndio inatakiwa hizo nafasi watu waombe Ili wapate Kwa merit sio kuteuliwa na Rais mpaka connection.

Watu wa hivyo wanaweza kuwabadili Watumishi wao ambao wanaishia Kwa kukaririshwa hawana uelewa Nje ya hapo.
 
Wewe ni nyumbu tuu unanipotezea energy yangu umejaa makamasi kichwani [emoji706][emoji706]
Wewe zezeta mpaka ufute kauli yako ya kujenga tu bila uhitaji ndo tutaenda sawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom