That's research mkuu Mpaka imeingia kwenye manuals zetu, PMDM inaruhusu asilimia 10 ya urefu wa Barabara kuwa ufanisi usioridhishaNdiyo Mkuu ....
Hiyo allowances inaruhusiwa japo hatutegemei kutokea mapema hivyo
Angalia kipande cha barabara kutoka Igawa pale Mbeya hadi Makambako kilivyo kizuri
Hii ina implies kuwa quality met during construction
Then angalia kipande cha barabara kutoka Iringa hadi Dodoma kupitia Mtera kilivyo kibovu
Nachotaka kusema ni kuwa 10% inachangia pakubwa sana kwenye kudhoofisha miundombinu yetu kabla ya wakati
Okay MkuuThat's research mkuu Mpaka imeingia kwenye manuals zetu, PMDM inaruhusu asilimia 10 ya urefu wa Barabara kuwa ufanisi usioridhisha
Nasikia zipo lc300 kibao zimepaki tuu bila matemgenezo, wameenda kununua nyingine.Kabisa, kuna ziara moja nilikutana na Mama Ummy yule wa afya.
Alishuka kwenye hiyo LC300 alizonunua Mwigulu kwa mawaziri wenzie
Thamani ya hizo gari ni sawa na kituo 1 cha afya kwenye Kata huko Halmashauri
Kama hali ni hiyo basi ni matumizi mabaya ya fedha za Umma.Nasikia zipo lc300 kibao zimepaki tuu bila matemgenezo, wameenda kununua nyingine.
Like serious? Hamna eneo Dar?Ni wapi mna eneo la ukubwa huo kuweka bara bara …mnachojua ni kulaumu na kulia lia mnataka maendeleo mkidhani kuongea ni rahisi!
Uwezo wanaona ila Sasa wanasingizia Bajeti ndogo.Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.
Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.
View attachment 2867192
View: https://youtu.be/7eTffANxShQHivi hii plan ilikuwaje ikabadilishwa na sasa wanaendelea kujenga kitu kile kile?