TANROADS hawana uwezo wa kudesign barabara nzuri kama za Kenya?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.

IMG-20240110-WA0000.jpg
 
Watu wanaowaza posho na kujineemesha wajenge barabara za kudumu na kuepusha matatizo kwa miaka 50 kweli?

Hujui kuwa mwisho wa uwezo wao kufikiri ndo kula yao?

Mbagala - Posta tu wamejenga barabara mpya za njia mbili mbili kila upande (kumbuka kwenye jiji la watu Mil 6) alafu katika kuingia posta kutoka mbagala wameweka njia moja moja kabisa kwa kila upande alafu ndo unasema una wakala wa barabara katika karne hii ya 21?

Nchi hii tuwarudishie wazungu tu waendelee kututawala.
 
Watu wanaowaza posho na kujineemesha wajenge barabara za kudumu na kuepusha matatizo kwa miaka 50 kweli?

Hujui kuwa mwisho wa uwezo wao kufikiri ndo kula yao?

Mbagala - Posta tu wamejenga barabara mpya za njia mbili mbili kila upande (kumbuka kwenye jiji la watu Mil 6) alafu katika kuingia posta kutoka mbagala wameweka njia moja moja kabisa kwa kila upande alafu ndo unasema una wakala wa barabara katika karne hii ya 21?

Nchi hii tuwarudishie wazungu tu waendelee kututawala
Tuna nchi ya kijinga sn
 
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya , lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya kimara kibaha- hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi..View attachment 2867192
Ni wapi mna eneo la ukubwa huo kuweka bara bara …mnachojua ni kulaumu na kulia lia mnataka maendeleo mkidhani kuongea ni rahisi!
 
Budget zetu ni ndogo sana plus ujuaji mwingi sana kwa wataalum wetu..
Wataalamu wetu ambao mishahara haizidi hata 8 million wanaweza mkolomea mwekezaji ambaye ni multimillion dollars na hujamlipa malipo yenyewe ni kwa kusumbuana hatari..

sasa wewe unaona hawa watu wetu ni wazima kweli?

Hakuna mkandarasi unayemsumbua na mwenye pesa zake atapoteza muda kukushauri kuhusu miundombinu yako kama wewe mwenyewe hujielewi.
 
TANROAD wao wanaombea barabara ziharibike mapema wapige pesa, juzi nimepita barabara ya Arusha Singida kuanzia Babati mpka karibu na Singida ni mashimo tupu na barabara haina hata miaka 10, tuna taasisi za kijinga haswa
Netanyahu a.k.a Pakashume usiwe mwongo,Barabara ya Singida to Babati imekamilika toka 2012 ndio iwe Haina hata miaka 10? Tena kipande Cha dareda to Babati ndio kilichelewa Ila Singida to katesh toka 2009 kilikuwa tayari Kama vile kipande Cha Babati to Minjingu Sasa usiwe muongo Kama huyo wajina lako uwe na taarifa sahih
 
Ni wapi mna eneo la ukubwa huo kuweka bara bara …mnachojua ni kulaumu na kulia lia mnataka maendeleo mkidhani kuongea ni rahisi!
Wapi hapana huo ukubwa hapa Tanzania? Ndo ujinga wenu huo kila siku kuleta visababu uchwara.

Barabara ya Gongo la Mboto- Posta haina nafasi ya kutosha barabara 3 au 4 kila upande pamoja na hiyo njia ya mwendokasi?

Kwa nini wanatujengea uchafu wa njia 2 mbili kila upande? Wanatatua tatizo gani pale?
 
1.kwanza anaedesign barabara si tanroads ni maconsultant mfano mwendokasi imekua design na tanconsult..Tanroad yeye ni clients

2. Tanroads hushirikiana na consultant kuiba hela na njia wanayotumia ni kwenye variations

3.lakini consultant huchukua rushwa pia kwa contractor na Tanroad pia hichukua hela kwa contractor

4.kwa hiyo mwishoni huwa wanabadili michoro na kujenga hizo flyover palipotakiwa kujengwa interchange

5.mfano mzuri ni interchange ya ubungo gharama zilizidi ikabidi mchoro ubadilishwe mara tatu wakisingizia gharama zimeongezeka

6.wanasiasa pia hushirikiana na mkandandarasi kula hela ya serikali...hapa wao wanamsaidia kupata kazi then wao hupewa 1 to 5% ya hela mzima wa mradi

7.hapa yumo waziri na circle ya viongozi wachache wa juu...umafia unaofanyiaka hapa unategemea kiongozi wa juu yupo na kampuni gani
 
Cllient gani asiye jua anacho taka?
 
Netanyahu a.k.a Pakashume usiwe mwongo,Barabara ya Singida to Babati imekamilika toka 2012 ndio iwe Haina hata miaka 10? Tena kipande Cha dareda to Babati ndio kilichelewa Ila Singida to katesh toka 2009 kilikuwa tayari Kama vile kipande Cha Babati to Minjingu Sasa usiwe muongo Kama huyo wajina lako uwe na taarifa sahih
Haya dada angu, barabara ya Babati Singida umepita lini mkuu? haina mashimo?
 
Ninachofahamu ni kuwa Tanroads hafanyi mwenyewe design isipokuwa anatumia Mkandarasi Mshauri yaani Consultant

Mkandarasi Mshauri ana-design kutokana na mahitaji ya Client ambaye ni Tanroads

Lakini tunajua kuwa Tanroads anafanya kazi kwa niaba ya Serikali maana ndiyo mtoa fedha

Sasa vipi iwapo mtoa fedha amepelekewa Mahitaji ya fedha ya kujenga barabara ya njia 8 lakini akasema nina hela ya kujenga njia 4?

Huyo Tanroads atatoa wapi fedha ya kujenga hizo njia 4 nyingine?

Kuhitimisha hili ni kuwa tusiwape lawama Tanroads bila kuangalia upana wa jambo lenyewe maana gharama za kujenga barabara ya njia mbili yaani 2-lanes ilifikia shilingi bilioni 1.6 kwa kila kilomita moja.

Imagine unajenga barabara ya kilomita 20 kwa Lane 8 itakuwa shilingi ngapi?

Tujikune Mkono unapofikia
 
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.

View attachment 2867192
Uwezo wanao ni ujinga tuu umewajaa kichwani.

Kwanza wamenikera sana yaani wanajenga Barabara ya Njia 4 Mbeya ila pale Makutano ya Mafyati Wameshindwa kabisa ku design simple flyover Ili kupendezesha Jiji.

Wanakera sana hao TanRoads,hawezi kabisa kufanya kitu Cha kudumu na Bora ila kulipua lipua ndio wanachowwza.

Kenya na Uganda Miji Yao Mingi Ina interchange na flyovers kibao ila Tanznaia Sasa ni shida tupu.
 
1.kwanza anaedesign barabara si tanroads ni maconsultant mfano mwendokasi imekua design na tanconsult..Tanroad yeye ni clients

2. Tanroads hushirikiana na consultant kuiba hela na njia wanayotumia ni kwenye variations

3.lakini consultant huchukua rushwa pia kwa contractor na Tanroad pia hichukua hela kwa contractor

4.kwa hiyo mwishoni huwa wanabadili michoro na kujenga hizo flyover palipotakiwa kujengwa interchange

5.mfano mzuri ni interchange ya ubungo gharama zilizidi ikabidi mchoro ubadilishwe mara tatu wakisingizia gharama zimeongezeka

6.wanasiasa pia hushirikiana na mkandandarasi kula hela ya serikali...hapa wao wanamsaidia kupata kazi then wao hupewa 1 to 5% ya hela mzima wa mradi

7.hapa yumo waziri na circle ya viongozi wachache wa juu...umafia unaofanyiaka hapa unategemea kiongozi wa juu yupo na kampuni gani
Approval zote za design hufanywa na TanRoads na pia consultant huleta design kulingana na mahitaji ya client in this case TanRoads.

On top of that TanRoads Wana kitengo Cha design kinafanya pia hiyo kazi kinaitwa TECU.
 
Uwezo wanao ni ujinga tuu umewajaa kichwani.

Kwanza wamenikera sana yaani wanajenga Barabara ya Njia 4 Mbeya ila pale Makutano ya Mafyati Wameshindwa kabisa ku design simple flyover Ili kupendezesha Jiji.

Wanakera sana hao TanRoads,hawezi kabisa kufanya kitu Cha kudumu na Bora ila kulipua lipua ndio wanachowwza.

Kenya na Uganda Miji Yao Mingi Ina interchange na flyovers kibao ila Tanznaia Sasa ni shida tupu.
Nilijua unaakili nowdays kumbe bado zezeta!!! Kwa hiyo wajenge flyover ya mabillion ya fedha kupendezesha mji???
 
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko.

Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa muziki.. taa zenyewe kila siku hazifanyi kazi.

View attachment 2867192
Nnje ya mada hii interchange haipo kisumu kenya!
Kama sijakosea ni tetteh or sofoline interchange in Ghana
 
Back
Top Bottom