jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Jana Nilikuwa nikisafiri kutoka Dar to Mwanza for sherehe za Christmas & New year 2025 kwakweli safari ilikuwa nzuri sana tena nikakunjia njia ya Tabora baada ya kufika Manyoni; Shida ilianza baada ya kutoka Shinyanga especially pale junction ya Old Shinyanga road hadi Usagara Mwanza.
Dah safari iligeuka jehanamu!! Kwa njia ile ajali ni muda wowote!! Either upige shimo upasue tairi na kupindisha Rim au ukwepe Shimo mkutane uso kwa kwa uso na gari mnavyopishana au uchochole ukafie Vichakani!
Kwa kweli kwa hali hii TANROADS mmeamua tufie barabarani kwa makusudi.
Kama kazi hii imewashinda hamna uhalali wowote wa nyie kuwa hapo ofisini kwasababu mnatutia hasara watumiaji wa barabara hii na baadhi yetu kupoteza maisha.
Hii haiwezekani kuvumilika. Fikiria mimi wakati wa kurudi nimeamua nizungukie Geita, Runzewe Kahama Tinde ili tu kuepuka Kifo katika jehanamu yenu.
Hizi gharama nani atarudisha? Namshauri Mheshimiwa Rais aivunje bodi ya TANROADS na kufukuza Director na hawa mameneja wa Shinyanga na Mwanza maana kazi imewashinda.