DOKEZO TANROADS, Magari ya mchanga yameharibu lami ya Tankibovu makazi mapya. Je, ni nani anawakumbatia hawa?

DOKEZO TANROADS, Magari ya mchanga yameharibu lami ya Tankibovu makazi mapya. Je, ni nani anawakumbatia hawa?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
MASIKINI
INASIKITISHA SANA NILIKUWA SAFARI NIMERUDI JANA

NIKASEMA NIKAMWONE DADANGU KIPENZI MAKAZI MAPYA MBEZI BEACH NIKAKUTA BARABARA AMBAYO DADA NAE ALICHANGIA 50000 HAIFAI.......

Kabisaaaa

Kuuliza naambiwa kunaa mkandarasi kapata tenda ya kutoa michanga huko chiinii mtonii

Shida si mchangaaa shida ana malori ambayoo n makubwaaa yakijaza mchanga barabara nzima imearibika

Mbaya zaidi hii njia kuingia makazi mapya chadema opp na jk hadi lami imearibika kabisaa haifaiiii

Mkuu wa wilaya kinondon ana taarifaaa hiii ofisi ya mkuu wa mkoa wanataarifa hiii watoto wameshindwa kwenda shule gari azizifiki

Inasikitisha saba sana tunaomba kuwajuza ofisi ya mkuu wa mkoaaa hawa wananchi msipowasikiliza wanamaamuzi magumu

Serikali ya mitaaa mbezi beach na mtendaji wake wanaonekana kila siku usiku na mkandarasi mtoni haijulikan wanafanya nini

Haitoshi serikal upande wa mazingira walikuja wakafanya mkutano wakasema mwisho wa kazi saa kumi na mbili

Leo hiiii magari mpaka saa moja nanusu yako mtoni watu wanashindwa kupitaaaa

Inasikitisha sanaa serikali msimamie haya mambo wananchi wanatia huruma

Ofisi ya mkuu wa wialaya tokens ofisini nendeni mkaone lami ya tanroad ilivyoaribika ukumbuke n kodi za wananchi hizo

Alldbest
 
Back
Top Bottom