kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,364
- 1,482
Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na mbavu za mbwa (Rasta) kiasi kwamba magari yanakimbia taratibu sana hasa nyakati za asubuhi na jioni na kusababisha foleni kubwa sana.
Kingine iyo Barabara kwa namna ilivyo inaharibu sana magari....yaani unajikuta unatamani kuibeba gari kwa namna gari inavyolalamika hasa ukifika katika ayo maeneo.
Kwa sisi wenye shughuli mjini ni Kila wiki lazima ufanye service ya miguu...na hii ni kutokana na ubvu wa Barabara tunaomba mpitishe angalau Greda...lisawazishe yake mashimo na hizo Rasta.