Kenya wapigaji maradufu lkn longo longo hawataki. Kenya hasifiwi mtu kisa tu anauwezo wa kuteua.Kenya wanajenga flyovers bana
Bongo tatizo upigaji mwingi
Kila mtu anataka kulaaaa
Ova
SwadaktaKenya wapigaji maradufu lkn longo longo hawataki. Kenya hasifiwi mtu kisa tu anauwezo wa kuteua.
Jaji mkuu alishawahi kumdindishia rais kwenye uchaguzi feki na hakufanywa lolote mpaka anastaafu.
Kenya mkuu wa mkoa (county governor) anachaguliwa na wananchi.
Kenya jaji mkuu anachaguliwa na hapokei maelekezo kutoka kwa mtu yoyote.
Hapa hata mkurugenzi wa halmashauri anateuliwa maana yake wananchi hawawezi kumwajibisha.
Kenya is a democratic developed country.
Naona nyuzi za kuponda Tanroads zimeongezeka Sana Siku za hivi karibuni..Sitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya.
Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.
View attachment 2106569
View attachment 2106570
Kabisa mkuu...yaani hawajui wanasiasa wao hawanaga ubavu wa kupangua kitu kikiwa kizuri. Kiufupi Tanroads ni wavivu wa kufikiri na hawajifunzi wengine wanafanyaje na watasingizia budgetNaona nyuzi za kuponda Tanroads zimeongezeka Sana Siku za hivi karibuni..
Na walivyo wapumbavu watasingizia wanasiasa mara pesa,utafikiri pesa ndio ina design..
Hapo tuu Uganda ukienda wako mbali sana.
Hiyo inafikia ubungo flyover?Sitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya.
Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.
View attachment 2106569
View attachment 2106570
Halafu umeona kakituo ka malori pale kwa msuguli kalivyo kadogo? Ndo ujue hawa jamaa hawana akili kabisa yaani malori yalivyomengi njia hii na bado wamejenga kituko matokeo yake malori yanapaki road tena. Tanroads bhanaNilishangaa kabla ya ujenzi wa kimara to kibaha walikuwa wapo kwenye ujenzi wa kituo Cha magari makubwa kati ya Kwa msuguri na kibanda Cha mkaa ilibaki kidogo tu wamalize ujenzi wa kama km1 matokeo yake wakaanza ujenzi huo wa barabara 6 palifumuliwa pote nilaani sana nikabak najiuliza hivi Hawa watendaji wanavichwa au cabbage tu hawana hata mpangilio wa kazi au plan
Kwenye madaraja mbali hivyoSitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya.
Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.
View attachment 2106569
View attachment 2106570
Aibu ya nini sasa? Mwanzo mzuri...hakuna sababu ya kuanza kukimbia kabla hata hujasimama na kutembea.Sitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya.
Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.
View attachment 2106569
View attachment 2106570
Ubungo flyover unadhani ndo bao la kujidai kwa kenya? Mkuu nenda tu ukatembee mwenyewe uone walivyo na ma flyover,bypass,underpass mengi utakuja unatukana bongo. Magu alivyosemaga atajenga maflyover kumi alikua anajua kinachoendelea duniani na kiukweli alikua anatukimbiza sababu tumechelewa. Haya sasa kaondoka na flyover zake 10 na hatutaskia tena habari za flyover kama Mbezi tu wameshindwa wataweka wapi kwingineHiyo inafikia ubungo flyover?
Ngoja wamalize uhasibu na chang’ombe kwanzaUbungo flyover unadhani ndo bao la kujidai kwa kenya? Mkuu nenda tu ukatembee mwenyewe uone walivyo na ma flyover mengi utakuja unatukana bongo. Magu alivyosemaga atajenga maflyover kumi alikua anajua kinachoendelea duniani na kiukweli alikua anatukimbiza sababu tumechelewa. Haya sasa kaondoka na flyover zake 10 na hatutaskia tena habari za flyover kama Mbezi tu wameshindwa wataweka wapi kwingine
Hufahamu foleni za kuanzia kamata hadi chang’ombe inaonekana, hujawahi kukutana nayoWapuuzi wanaacha kujenga vitu vya maana sehemu ambako ndio lango la jiji ambako kila mtu anapita wanaenda kujenga huko pembeni. Utadhani hawaelewi maana ya majiji
Parking haina hata choo wala bafu, halafu wanacharge 5k/truck.. hovyo kabisaHalafu umeona kakituo ka malori pale kwa msuguli kalivyo kadogo? Ndo ujue hawa jamaa hawana akili kabisa yaani malori yalivyomengi njia hii na bado wamejenga kituko matokeo yake malori yanapaki road tena. Tanroads bhana