Kenya wapigaji maradufu lkn longo longo hawataki. Kenya hasifiwi mtu kisa tu anauwezo wa kuteua.Kenya wanajenga flyovers bana
Bongo tatizo upigaji mwingi
Kila mtu anataka kulaaaa
Ova
Jaji mkuu alishawahi kumdindishia rais kwenye uchaguzi feki na hakufanywa lolote mpaka anastaafu.
Kenya mkuu wa mkoa (county governor) anachaguliwa na wananchi.
Kenya jaji mkuu anachaguliwa na hapokei maelekezo kutoka kwa mtu yoyote.
Hapa hata mkurugenzi wa halmashauri anateuliwa maana yake wananchi hawawezi kumwajibisha.
Kenya is a democratic developed country.