Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Sana Mkuu, ila kufika tutafika tuKwa dizaini mbovu mbovu za kurudia kazi mara mbili mbili tutafika tumechoka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana Mkuu, ila kufika tutafika tuKwa dizaini mbovu mbovu za kurudia kazi mara mbili mbili tutafika tumechoka sana
Mbona wameiga mchoro wa Mfugale, hawatifikii sisi.Sitii neno. Hawa ni majirani zetu tu hapo Kenya na Uganda (Entebbe Kampala express way picha ya chini).
Nikifkiria kinachoendelea pale Mbezi mwisho napata hasira sana.
View attachment 2106569
View attachment 2106570
View attachment 2135979
One day yes!
Inasemekana ni vivuko vya waenda kwa miguu....flyover gani ya nondo bila nguzoPale Mbezi mwisho kuna project inaendelea, bahati mbaya sana hakuna mchoro walau kuonyesha ni kitu gani kinajengwa pale, seems like flyovers, tena mbili...let's wait and see kama kitatoka kitu au kituko.
Yote umeandika au umeongea vizuri, ila sentence yako ya mwisho, fikiria tena na tena.Kenya wapigaji maradufu lkn longo longo hawataki. Kenya hasifiwi mtu kisa tu anauwezo wa kuteua.
Jaji mkuu alishawahi kumdindishia rais kwenye uchaguzi feki na hakufanywa lolote mpaka anastaafu.
Kenya mkuu wa mkoa (county governor) anachaguliwa na wananchi.
Kenya jaji mkuu anachaguliwa na hapokei maelekezo kutoka kwa mtu yoyote.
Hapa hata mkurugenzi wa halmashauri anateuliwa maana yake wananchi hawawezi kumwajibisha.
Kenya is a democratic developed country.
Kumbuka design zote hizo za Dodoma mzee baba aliziacha zikiwa tayari.Aliweza kipi? Si ndio alijenga hayo madizaini ya kipumbavu?
Afadhari hata Dom labda tutapata za ahueni kama hizi
View attachment 2116987
View attachment 2116988
Kumbuka design zote hizo za Dodoma mzee baba aliziacha zikiwa tayari.
Mkuu Mimi nasafiri Sana kwenda Nairobi. My friend barabara zao huwezi linganisha sijui na Mkude flyover au matonya interchangeYote umeandika au umeongea vizuri, ila sentence yako ya mwisho, fikiria tena na tena.
Kilikua kipindi Cha kipenzi Cha mwendakuzimu Bw. Mfuge Ale.Nilishangaa kabla ya ujenzi wa kimara to kibaha walikuwa wapo kwenye ujenzi wa kituo Cha magari makubwa kati ya Kwa msuguri na kibanda Cha mkaa ilibaki kidogo tu wamalize ujenzi wa kama km1 matokeo yake wakaanza ujenzi huo wa barabara 6 palifumuliwa pote nilaani sana nikabak najiuliza hivi Hawa watendaji wanavichwa au cabbage tu hawana hata mpangilio wa kazi au plan
Wabunge wote wenuMagufuli alianza kufanya haya bavicha wakamtukana na kumkejeli kuwa hawataki maendeleo ya vitu. Wanataka kupiga kelele tu
Serious?Inasemekana ni vivuko vya waenda kwa miguu....flyover gani ya nondo bila nguzo
Wanajenga kituko kama cha tazaraPale Mbezi mwisho kuna project inaendelea, bahati mbaya sana hakuna mchoro walau kuonyesha ni kitu gani kinajengwa pale, seems like flyovers, tena mbili...let's wait and see kama kitatoka kitu au kituko.