TANROADS sasa mkae mguu sawa

TANROADS sasa mkae mguu sawa

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fani mbalimbali nchini. Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.

Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano. Hiyo ilikuwa kama shukrani ya muheshimiwa.

Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS. Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.

Sasa mambo yameanza kubadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.

Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.

Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.

TANROADS mkae mguu sawa.
 
Nafasi ya rugemalila na seth kule keko tunataka wafuatao ndio waende keko,mfugale,kakonko,DG atcl,DG TRC,dotto james,heri james,sabaya, bashite....hawa hawatakiwi kuona jua la saa 10 jioni wao mwisho iwe saa 9 kama ratiba ya magereza ilivyo.

Tukimaliza tunaanza na DK Gwajima n naibu wake kwa vifo vya waliokufa n covid wakti wao wakifanya comedy za kunywa juice ya tangawizi n limao.
 
Nafasi ya rugemalila na seth kule keko tunataka wafuatao ndio waende keko,mfugale,kakonko,DG atcl,DG TRC,dotto james,heri james,sabaya, bashite....hawa hawatakiwi kuona jua la saa 10 jioni wao mwisho iwe saa 9 kama ratiba ya magereza ilivyo.
Tukimaliza tunaanza na DK gwajima n naibu wake kwa vifo vya waliokufa n covid wakti wao wakifanya comedy za kunywa juice ya tangawizi n limao

Kwani ile sheria ya mahabusu kufanya kazi ili wale ilikwisha pitishwa?
 
Kwa miaka hii sita, TANROADS imetoa viongozi wengi katika fai mbali mbali nchini.
Nani asiyejua kuwa ni TANROADS ambao walikuwa nguvu kubwa ya mheshimiwa Magufui hadi kushika madaraka ya Urais.

Nguvu ya TANROADS imetumika kisiasa na tumeona wafanya kazi wa TANROADS wakipelekwa sehemu mbali mbali za uongzi katika awamu ya tano.

Siyo bure kwamba lile daraja la TAZARA pale limtunikiwa jina la Mfugale wa TANROADS.
Hatukuwahi kusikia mahesbu ya CAG yakiigusa vibaya TANROADS kwa muda wote wa awamu ya tano.

Sasa mambo yameanza kbadilika, kaingia rais wa sita Mama Samia.

Mtu wa kwanza kuenguliwa ni Eng Kakoko wa TPA-Bandari.
Alikuwa meneja wa Mkoa TANROADS huyu
Hili siyo bure- walikuwa untouchables.

Nimemsikia Rais Mama Samia kuwa sasa anataka kuona miradi ya barabara ikikaguliwa na CAG.

TANROADS mkae mguu sawa.
Majambazi yote ya Ujenzi na TANROADS lazima yakamatwe
 
Nafasi ya rugemalila na seth kule keko tunataka wafuatao ndio waende keko,mfugale,kakonko,DG atcl,DG TRC,dotto james,heri james,sabaya, bashite....hawa hawatakiwi kuona jua la saa 10 jioni wao mwisho iwe saa 9 kama ratiba ya magereza ilivyo.
Tukimaliza tunaanza na DK gwajima n naibu wake kwa vifo vya waliokufa n covid wakti wao wakifanya comedy za kunywa juice ya tangawizi n limao
Ole Sabaya kiboko ya Mbowe
 
Mantiki ya mfugale na kijazi kupewa jina la daraja la tazara na ubungo imekaa kiswahiba zaidi kuliko hali halisi kama washikaji na sio kimantiki ya usahii wa vigezo vya upewaji majina.
Sahihi majina halisi yarejeshwe.Tazara fly over na ubungo flyover.
 
Back
Top Bottom