TANROADS yamjibu Khana Mbarouk, ubovu wa barabara na msongamano wa magari barabara kuu Mbagala - Kongowe

Nchi imekuwa ya kijinga jinga sana.
Ukiona mtu anamtaja huyo mama, au Kuna picha yake,ujue Kuna wizi mkubwa au uzembe mkubwa sana.
Mfano hapa! Kuna wizi mkubwa sana

Nchi imekuwa ya kijinga jinga sana
 
Inafika kipindi..tunaouana ni sisi wenyewe kwa wenyewe tu

Mama wa watu tunamtwisha mizigo isiyo na maana.Kuna wahuni hapo wamekalia pesa ukute zipo za kutengeza hizo barabara.

Kwa nilichokiona tu SGR na mwendo kasi ndio asili ya Mtanzania kwa 90% roho mbaya iliyofunikwa na unafiki wa upole na amani.

Watu ni washenzi sana huku makazini.Anaona raha kuteseka kwa watu wengine ili wasijudiwe.
 
Yule mama na ushungi wake ni hewa
 
Wahuni hawa ,naona kachomekea uchawa kamtaja samia gia hiyo

Ova
Chawa Ni Chawa
Nimeona Kaweka KibwAgizo Cha Samia
Aibu Sana Sana,
Ukiona ujenzi barabara ya kimara wanachofanya hata hawaeleweki wanafanya nini hawa
Ukija miradi chini ya tarura ndy balaa ....wahuni wakubwaaaa hawa
Ova
 
Ukiona mtu anamtaja huyo mama, au Kuna picha yake,ujue Kuna wizi mkubwa au uzembe mkubwa sana.
Mfano hapa! Kuna wizi mkubwa sana
Aisee uwanja wa michezo tu 1.6b?

Kuna nini na nini hasa vitakavyojumuishwa kwenye huo uwanja hadi kuwa na gharama kubwa kiasi hicho?
 
Inafika kipindi..tunaouana ni sisi wenyewe kwa wenyewe tu

Mama wa watu tunamtwisha mizigo isiyo na maana.Kuna wahuni hapo wamekalia pesa ukute zipo za kutengeza hizo barabara.

Kwa nilichokiona tu SGR na mwendo kasi ndio asili ya Mtanzania kwa 90% roho mbaya iliyofunikwa na unafiki wa upole na amani.

Watu ni washenzi sana huku makazini.Anaona raha kuteseka kwa watu wengine ili wasijudiwe.
Hebu funguka na wewe, umeona nini huko kwenye SGR? Hii nchi inatia hasira sana.
 
Aisee uwanja wa michezo tu 1.6b?

Kuna nini na nini hasa vitakavyojumuishwa kwenye huo uwanja hadi kuwa na gharama kubwa kiasi hicho?
Takukuru Kilimanjaro,walichukia chao mapema!
Ukiuliza wanasema, Mitano tena
 
Sasa kulikuwa na ulazima gani wa kumtaja Samia.
Tusaidiane kushangaa... yaani mpaka sasa nimeshindwa kupata mantiki ya yeye kumtaja Samia hapo.

Mimi nafikiri hata Samia mwenyewe kuna muda akikaa na kuona hawa kenge wanavyomtaja taja taja ovyo ovyo huwa anakasirika sana, anashindwa tu kuwaambia.
 
Yule bibi haelewi chochote! Pesa zinapigwa tu
 
Attachments

  • IMG-20250307-WA0028.jpg
    IMG-20250307-WA0028.jpg
    113.7 KB · Views: 1
  • IMG-20250305-WA0007.jpg
    IMG-20250305-WA0007.jpg
    137.3 KB · Views: 1
  • IMG-20250303-WA0014.jpg
    IMG-20250303-WA0014.jpg
    38.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250213_083039_Instagram (1).jpg
    Screenshot_20250213_083039_Instagram (1).jpg
    510.7 KB · Views: 1
Hebu funguka na wewe, umeona nini huko kwenye SGR? Hii nchi inatia hasira sana.
Baada ya kukaa zaidi ya saa tatu na hakuna mwenye anajali..
Majibu mepesi tu,hitilafu ya umeme.Why?Haiwezekana kila week kuwa na hitilafu ya umeme huo uongo uliopitiliza.
Ni kwamba watu wanataka kusujudiwa na pia watu wana miradi yao ya mabasi,why tukwame ulete basi?Kwanini tukwame pahala pale pale several times?
Kuna wapuuzi wachache wanataka kutuaminisha kuwa bila wao sisi hatuendi.

Sio tu Nchi inatia hasira,Watanzania wengi tuna roho mbaya sana.Ni hii imetokana kukumbatia Umaskini na kukua kwenye Unyonge..
Imetufanya tusijue maana ya maendeleo.
Vuongozi wengi sana wanaona sifa kukulia,kusoma kwa tabu na mpaka wamekuwa viongozi..hawaoni thamani ya watu wengine kuishi kwa raha.
Tumejaa chuki,Wivu ma roho mbaya kupitiliza.
 
Kama anakereka kweli, angesema hadharani ama angewapukuta machawa wote.
Anafurahia hiki kinachoendelea.
Tusaidiane kushangaa... yaani mpaka sasa nimeshindwa kupata mantiki ya yeye kumtaja Samia hapo.

Mimi nafikiri hata Samia mwenyewe kuna muda akikaa na kuona hawa kenge wanavyomtaja taja taja ovyo ovyo huwa anakasirika sana, anashindwa tu kuwaambia.
 
Kama anakereka kweli, angesema hadharani ama angewapukuta machawa wote.
Anafurahia hiki kinachoendelea.
Tusaidiane kushangaa... yaani mpaka sasa nimeshindwa kupata mantiki ya yeye kumtaja Samia hapo.

Mimi nafikiri hata Samia mwenyewe kuna muda akikaa na kuona hawa kenge wanavyomtaja taja taja ovyo ovyo huwa anakasirika sana, anashindwa tu kuwaambia.
 
Kama anakereka kweli, angesema hadharani ama angewapukuta machawa wote.
Anafurahia hiki kinachoendelea.
Kaka kwa hizi kelele za "mama"..."mama"..."mama" kila mara kila mahali, lazima atakuwa anakereka sema hawezi tu kusema sababu hana ujasiri huo.

Wenye ujasiri wa kukemea tabia za kujipendekeza pendekeza ni kama yule raisi wa Zambia bwana Hichilema ambaye amepiga marufuku media na raia yeyote kumsifia kiongozi ovyo ovyo pale anapotimiza wajibu wake.
 
Tunahitaji kiongozi shupavu na mwenye uthubutu, kama anashindwa kukemea jambo dogo kama hili vipi makubwa, hawa wanaomsifia sifia angewapiga chini kuonesha haimpendezi
 
Back
Top Bottom