Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kila siku tatizo ni lile lile tu kwanin? Hapa manager anatakiwa ajiuzulu kama ana akili timamu.Baada ya kukaa zaidi ya saa tatu na hakuna mwenye anajali..
Majibu mepesi tu,hitilafu ya umeme.Why?Haiwezekana kila week kuwa na hitilafu ya umeme huo uongo uliopitiliza.
mimi hili nililiona mapema sana hata kabla mradi haujaja, kuwa lazima utakuwa sabotaged na wamiliki wa mabasi hasa ukizingatia awamu tuliyonayo haijui kufuatilia kabisa wala kulinda miradi.Ni kwamba watu wanataka kusujudiwa na pia watu wana miradi yao ya mabasi,why tukwame ulete basi?
Na hao wapuuzi wengi wao ndio tunaowaita matajiri wa nchi hii, ndio maana mimi kipindi kile walivyokuwa wanakwapuliwa pesa zao kwenye mabenki sikuona kama wanaonewa.Kwanini tukwame pahala pale pale several times?
Kuna wapuuzi wachache wanataka kutuaminisha kuwa bila wao sisi hatuendi.
Acha kabisa, maskin aliyepata madaraka na exposure ya ghafla huwa wana roho mbaya sana, kwanza huwa wanatamani kuona kila mtu anateseka kama wao.Sio tu Nchi inatia hasira,Watanzania wengi tuna roho mbaya sana.Ni hii imetokana kukumbatia Umaskini na kukua kwenye Unyonge.
UKishaona tu kiongozi yeyote anaona kutimiza wajibu wake kukuletea maendeleo hasa ya vitu ambavyo havijawahi kuwepo hapa nchini ni kama anakufanyia hisani, ujue hakuna mtu hapo na mara nyingi huwa wanaumia sana rohoni kuona kuna watu wa hali ya chini wanafurahia vitu vizuri ambavyo wao hakuwahi kuvipata kwenye makuzi yaoImetufanya tusijue maana ya maendeleo.
Vuongozi wengi sana wanaona sifa kukulia,kusoma kwa tabu na mpaka wamekuwa viongozi..hawaoni thamani ya watu wengine kuishi kwa raha.
Tumejaa chuki,Wivu ma roho mbaya kupitiliza.
Tatizo hana uwezo huo, maana hao wanaomsifia sifia kwa kiasi kikubwa ndio wanampa mipango ya namna gani mambo yaende(huku wakijinufaisha wao binafsi).... Suala la kuwa na raisi imara tulisahau kwa sasa, otherwise tuingie roadTunahitaji kiongozi shupavu na mwenye uthubutu, kama anashindwa kukemea jambo dogo kama hili vipi makubwa, hawa wanaomsifia sifia angewapiga chini kuonesha haimpendezi
Hiyo changamoto, mambo ya kuingia road hatuyawezi, sisi ni keyboard warriorsTatizo hana uwezo huo, maana hao wanaomsifia sifia kwa kiasi kikubwa ndio wanampa mipango ya namna gani mambo yaende(huku wakijinufaisha wao binafsi).... Suala la kuwa na raisi imara tulisahau kwa sasa, otherwise tuingie road
Aisee itabidi tuandae gen z kama sisi wajomba zao hatuweziHiyo changamoto, mambo ya kuingia road hatuyawezi, sisi ni keyboard warriors
Inakera kila kitu Samia, wakati mwenyewe hana habariMama, Mama, Mama
Hao gen z ndio kabisaa, kwenye jamii ya watu wenye hekima, wakikubali watoto wao wafundishwe na watu wapuuzi, wajiandae kupata kizazj kijacho cha kipuuzi.Aisee itabidi tuandae gen z kama sisi wajomba zao hatuwezi
Bila kutaja wanaliwa vichwaAidha Mhandisi Besta ameongeza kuwa kwa kipindi cha miaka 4 cha Rais Samia hadi kufikia sasa karibu theluthi ya barabara zote nchini zimejengwa kwa kiwango cha lami na kuchochea uchumi kwa jamii zinazopitiwa miradi ya barabara hizo.
Was this necessary kweli? UJINGA mtupuAidha Mhandisi Besta ameongeza kuwa kwa kipindi cha miaka 4 cha Rais Samia hadi kufikia sasa karibu theluthi ya barabara zote nchini zimejengwa kwa kiwango cha lami na kuchochea uchumi kwa jamii zinazopitiwa miradi ya barabara hizo.