makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ukiona mtu anamtaja huyo mama, au Kuna picha yake,ujue Kuna wizi mkubwa au uzembe mkubwa sana.
Mfano hapa! Kuna wizi mkubwa sana
Nchi imekuwa ya kijinga jinga sanaUkiona mtu anamtaja huyo mama, au Kuna picha yake,ujue Kuna wizi mkubwa au uzembe mkubwa sana.
Mfano hapa! Kuna wizi mkubwa sana
Chawa Ni ChawaWahuni hawa ,naona kachomekea uchawa kamtaja samia gia hiyo
Ova
Yule mama na ushungi wake ni hewaInafika kipindi..tunaouana ni sisi wenyewe kwa wenyewe tu
Mama wa watu tunamtwisha mizigo isiyo na maana.Kuna wahuni hapo wamekalia pesa ukute zipo za kutengeza hizo barabara.
Kwa nilichokiona tu SGR na mwendo kasi ndio asili ya Mtanzania kwa 90% roho mbaya iliyofunikwa na unafiki wa upole na amani.
Watu ni washenzi sana huku makazini.Anaona raha kuteseka kwa watu wengine ili wasijudiwe.
Ukiona ujenzi barabara ya kimara wanachofanya hata hawaeleweki wanafanya nini hawaChawa Ni Chawa
Nimeona Kaweka KibwAgizo Cha Samia
Aibu Sana Sana,
Aisee uwanja wa michezo tu 1.6b?Ukiona mtu anamtaja huyo mama, au Kuna picha yake,ujue Kuna wizi mkubwa au uzembe mkubwa sana.
Mfano hapa! Kuna wizi mkubwa sana
Hebu funguka na wewe, umeona nini huko kwenye SGR? Hii nchi inatia hasira sana.Inafika kipindi..tunaouana ni sisi wenyewe kwa wenyewe tu
Mama wa watu tunamtwisha mizigo isiyo na maana.Kuna wahuni hapo wamekalia pesa ukute zipo za kutengeza hizo barabara.
Kwa nilichokiona tu SGR na mwendo kasi ndio asili ya Mtanzania kwa 90% roho mbaya iliyofunikwa na unafiki wa upole na amani.
Watu ni washenzi sana huku makazini.Anaona raha kuteseka kwa watu wengine ili wasijudiwe.
Takukuru Kilimanjaro,walichukia chao mapema!Aisee uwanja wa michezo tu 1.6b?
Kuna nini na nini hasa vitakavyojumuishwa kwenye huo uwanja hadi kuwa na gharama kubwa kiasi hicho?
Tusaidiane kushangaa... yaani mpaka sasa nimeshindwa kupata mantiki ya yeye kumtaja Samia hapo.Sasa kulikuwa na ulazima gani wa kumtaja Samia.
Yule bibi haelewi chochote! Pesa zinapigwa tuTusaidiane kushangaa... yaani mpaka sasa nimeshindwa kupata mantiki ya yeye kumtaja Samia hapo.
Mimi nafikiri hata Samia mwenyewe kuna muda akikaa na kuona hawa kenge wanavyomtaja taja taja ovyo ovyo huwa anakasirika sana, anashindwa tu kuwaambia.
Baada ya kukaa zaidi ya saa tatu na hakuna mwenye anajali..Hebu funguka na wewe, umeona nini huko kwenye SGR? Hii nchi inatia hasira sana.
Tusaidiane kushangaa... yaani mpaka sasa nimeshindwa kupata mantiki ya yeye kumtaja Samia hapo.
Mimi nafikiri hata Samia mwenyewe kuna muda akikaa na kuona hawa kenge wanavyomtaja taja taja ovyo ovyo huwa anakasirika sana, anashindwa tu kuwaambia.
Aisee kama taifa tuna hasara kubwa sana kwenye awamu hii.Yule bibi haelewi chochote! Pesa zinapigwa tu
Tusaidiane kushangaa... yaani mpaka sasa nimeshindwa kupata mantiki ya yeye kumtaja Samia hapo.
Mimi nafikiri hata Samia mwenyewe kuna muda akikaa na kuona hawa kenge wanavyomtaja taja taja ovyo ovyo huwa anakasirika sana, anashindwa tu kuwaambia.
Kaka kwa hizi kelele za "mama"..."mama"..."mama" kila mara kila mahali, lazima atakuwa anakereka sema hawezi tu kusema sababu hana ujasiri huo.Kama anakereka kweli, angesema hadharani ama angewapukuta machawa wote.
Anafurahia hiki kinachoendelea.
Tunahitaji kiongozi shupavu na mwenye uthubutu, kama anashindwa kukemea jambo dogo kama hili vipi makubwa, hawa wanaomsifia sifia angewapiga chini kuonesha haimpendeziKaka kwa hizi kelele za "mama"..."mama"..."mama" kila mara kila mahali, lazima atakuwa anakereka sema hawezi tu kusema sababu hana ujasiri huo.
Wenye ujasiri wa kukemea tabia za kujipendekeza pendekeza ni kama yule raisi wa Zambia bwana Hichilema ambaye amepiga marufuku media na raia yeyote kumsifia kiongozi ovyo ovyo pale anapotimiza wajibu wake.