Tanzama sanaa ya uchoraji iitwayo hyper realistic art

Ramsy Dalai Lama

Senior Member
Joined
Apr 5, 2021
Posts
156
Reaction score
554
hyperrealistic art ni aina ya Sanaa ya uchoraji yenye kutumia details nyingi na umakini sana juu ya kitu unachokichora ili iwe na uhalisia.
images%20(54).jpg
drawing%20art.jpg
images%20(60).jpg

Wasanii wa aina hii hutumia kipaji na uwezo wa hali ya juu katika uchoraji wa kazi zao ili kufikia quality ya picha iliyopigwa na camera. Na hufanikisha lengo hilo kwa kuweka umakini zaidi kwenye maelezo ama more details ya hicho wanachokichola ili kupata uhalisia.
drawing%20Lagos-based%20artist%20Oresegun%20Olumide.jpg
images%20(56).jpg

Huwa wanacheza na uchanganyaji wa rangi yenye uhalisia wa hicho wanachokichora, na rangi ya mwanga, na pia rangi hulinganishwa kwenye uhalisia wa kimazingira, halafu huamia katika kuchezesha rangi katika uchoraji kuzighatia colour intensity, lighting, contrast, and sharpness ili mwishowe wapate picha yenye uhalisia wa hali ya juu. Hii ndio inayotenganisha Hyperrealism kutoka katika Sanaa ya uchoraji iliyotangulia ambayo ni naturalistic na Photorealism.
images%20(59).jpg
drawing%20hyper-realistic-painting-by-robin-eley%20plastic%20cover.jpg
images%20(58).jpg
images%20(57).jpg
drawing%20Jason%20de%20Graaf%20Separate-Skies-small-002-1024x815.jpg
images%20(62).jpg

Na kwa kuongezea tu ni kwamba Sanaa hii ya uchoraji huchukua mda mrefu sana kumaliza picha, na muda mchache ni huanzia mwezi moja na Zaidi ili kukamilisha picha moja tu
 
Attachments

  • drawing%20Jason%20de%20Graaf%20Separate-Skies-small-002-1024x815.jpg
    drawing%20Jason%20de%20Graaf%20Separate-Skies-small-002-1024x815.jpg
    67.6 KB · Views: 29
Hawa jamaa ni hatari Sana,mcheki huyu jamaa alivyolichora hili pipa chini na mwishowe ametokea paka..km picha halisi asee,Hadi mbwa anataka kuwasha Moto[emoji28] anashangaa paka gani mkubwa km tembo kumbe mchoro Tu [emoji28][emoji28]
IMG_20220807_132511.jpg
 
... kwa hiyo hii tunaweza ita UHD (ultra high definition) katika uchoraji au?
 
Kwa tz kuna uvhoraji huu?
 
hyperrealistic art ni aina ya Sanaa ya uchoraji yenye kutumia details nyingi na umakini sana juu ya kitu unachokichora ili iwe na uhalisia.
View attachment 2316989View attachment 2316991View attachment 2316982
Wasanii wa aina hii hutumia kipaji na uwezo wa hali ya juu katika uchoraji wa kazi zao ili kufikia quality ya picha iliyopigwa na camera. Na hufanikisha lengo hilo kwa kuweka umakini zaidi kwenye maelezo ama more details ya hicho wanachokichola ili kupata uhalisia.
View attachment 2316990View attachment 2316988
Huwa wanacheza na uchanganyaji wa rangi yenye uhalisia wa hicho wanachokichora, na rangi ya mwanga, na pia rangi hulinganishwa kwenye uhalisia wa kimazingira, halafu huamia katika kuchezesha rangi katika uchoraji kuzighatia colour intensity, lighting, contrast, and sharpness ili mwishowe wapate picha yenye uhalisia wa hali ya juu. Hii ndio inayotenganisha Hyperrealism kutoka katika Sanaa ya uchoraji iliyotangulia ambayo ni naturalistic na Photorealism.
View attachment 2316983View attachment 2316992View attachment 2316985View attachment 2316986View attachment 2316993View attachment 2316979
Na kwa kuongezea tu ni kwamba Sanaa hii ya uchoraji huchukua mda mrefu sana kumaliza picha, na muda mchache ni huanzia mwezi moja na Zaidi ili kukamilisha picha moja tu
Hii inatofauti gani na 3D?
 
Ukimuona mtu ni Fine art artist, Basi IQ yake huwa ipo juuuu Mawinguni....!

Wanaweza kufanya chochote kile, ni rahisi kuelewa skills yeyote ile...!

Wengine Akili zimewazidi mpaka wamekua kama wamedata flani hivi....!

Angalia tu hata kwa Tanzania, mfano wa Wachoraji Maarufu na Vitu wanafanya. . kama Masoud Kipanya, Fid Q....
 
Kwa tz kuna uvhoraji huu?
Wapo Wachoraji wachache wenye uwezo huo...!

Ila ukiwa unaishi kama Mchoraji kwa Tanzania, halafu ukawa unachora Picha za aina hiyo, utakufa Masikini kabisa...!

Thats why artist wazuri inabidi wahamie kwenye aina nyingine ya Michoro kama Abstract, Knife paint, Tingatinga na nyinginezo, kwa sababu angalau zinauzika kwa uchache wake.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
hyperrealistic art ni aina ya Sanaa ya uchoraji yenye kutumia details nyingi na umakini sana juu ya kitu unachokichora ili iwe na uhalisia.
View attachment 2316989View attachment 2316991View attachment 2316982
Wasanii wa aina hii hutumia kipaji na uwezo wa hali ya juu katika uchoraji wa kazi zao ili kufikia quality ya picha iliyopigwa na camera. Na hufanikisha lengo hilo kwa kuweka umakini zaidi kwenye maelezo ama more details ya hicho wanachokichola ili kupata uhalisia.
View attachment 2316990View attachment 2316988
Huwa wanacheza na uchanganyaji wa rangi yenye uhalisia wa hicho wanachokichora, na rangi ya mwanga, na pia rangi hulinganishwa kwenye uhalisia wa kimazingira, halafu huamia katika kuchezesha rangi katika uchoraji kuzighatia colour intensity, lighting, contrast, and sharpness ili mwishowe wapate picha yenye uhalisia wa hali ya juu. Hii ndio inayotenganisha Hyperrealism kutoka katika Sanaa ya uchoraji iliyotangulia ambayo ni naturalistic na Photorealism.
View attachment 2316983View attachment 2316992View attachment 2316985View attachment 2316986View attachment 2316993View attachment 2316979
Na kwa kuongezea tu ni kwamba Sanaa hii ya uchoraji huchukua mda mrefu sana kumaliza picha, na muda mchache ni huanzia mwezi moja na Zaidi ili kukamilisha picha moja tu
Hio ya yai nayo Ni picha?
 
Back
Top Bottom