Ramsy Dalai Lama
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 156
- 554
hyperrealistic art ni aina ya Sanaa ya uchoraji yenye kutumia details nyingi na umakini sana juu ya kitu unachokichora ili iwe na uhalisia.
Wasanii wa aina hii hutumia kipaji na uwezo wa hali ya juu katika uchoraji wa kazi zao ili kufikia quality ya picha iliyopigwa na camera. Na hufanikisha lengo hilo kwa kuweka umakini zaidi kwenye maelezo ama more details ya hicho wanachokichola ili kupata uhalisia.
Huwa wanacheza na uchanganyaji wa rangi yenye uhalisia wa hicho wanachokichora, na rangi ya mwanga, na pia rangi hulinganishwa kwenye uhalisia wa kimazingira, halafu huamia katika kuchezesha rangi katika uchoraji kuzighatia colour intensity, lighting, contrast, and sharpness ili mwishowe wapate picha yenye uhalisia wa hali ya juu. Hii ndio inayotenganisha Hyperrealism kutoka katika Sanaa ya uchoraji iliyotangulia ambayo ni naturalistic na Photorealism.
Na kwa kuongezea tu ni kwamba Sanaa hii ya uchoraji huchukua mda mrefu sana kumaliza picha, na muda mchache ni huanzia mwezi moja na Zaidi ili kukamilisha picha moja tu