Tena sio siku hizi, ni siku zote Feisal kuaba hawezi, huwa anaishia kucheza rafu. Hiyo kazi anaiweza MuzamiruNote: Feisal siku hizi majukumu ya kukaba hayawezi, ila ni mzuri sana katika box la mpinzani, na sasa anacheza chini sana
Unaota etyLeo hakika tutashinda goli 1 au mbili hatutazidi hapo.