Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Tena sio siku hizi, ni siku zote Feisal kuaba hawezi, huwa anaishia kucheza rafu. Hiyo kazi anaiweza MuzamiruNote: Feisal siku hizi majukumu ya kukaba hayawezi, ila ni mzuri sana katika box la mpinzani, na sasa anacheza chini sana