UnaotaTaifa Staz leo inashinda goli 1-0. (Mfungaji Feisal au Msuva)
Nawapongeza kabisa kabla game haijaanza. Hongereni kwa ushindi
Nao wameingiza kikongwe BolasieTunazidi kuingiza vikongwe Boko na Nyoni
Game plan imebadilikaKipindi cha pili ni kama stars wameimarika wamekuja wakiupiga mwingi
VyoteHiyo ni simba au stars,