Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Hii timu ningekuwa na mamlaka, moja kwa moja jeshini. Pumbavu kabisa
Kwa akili yako Tanzania iitoe Kongo kwenye haya mashindano....ebu acheni akili za CCM..Mpira n Sayansi,inayowekezwa ...Kule Kongo tulibahatisha tu!hakuna Cha blabla. ...Hizo Blabla pelekeni Bunge la CCM !
 
Hongera timu ya asili yangu CONGO DRC kwa kuwatwisha kitu kizito watanzania
 
Yani hili LICHAMA la MIGOMBA linatupa nuksi mpaka kwenye michezo[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kwani waziri mkuu hakuwepo humo uwanjani? Kwa vipaji vya wacongoman anzia kwenye muziki, basket, football, wala wale sio level yetu hata kidogo Afya ya wachezaji inakuonesha ipi timu na lipi genge la mpira
 
Tumefungwaje fungwaje..... Fei toto,Samata na Msuva hawakucheza ?
Mzee Mwinyi njoo ufute ule msemo wako wa Kichwa cha mwenda wazimu ama sivyo hata Messi na CR 7 wakiwa WaTz hatutoboi...!
 
Back
Top Bottom