Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndo hamna consistance ya ushindi kabisaa yaan Utopolo ina gunduu mnooKama uwanja umetiwa nuksi kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Zesco, imekuaje timu ya Tanzania ikashinda kwenye uwanja huo huo dhidi ya Madagascar?
wazirudishe tu zile Bilioni kadhaa walizochangiwa Taifa Stars vinginevyo huko mbeleni tusielezane kuhusiana na Taifa Stars. hii timu ina gundu la kurithi, ni bora waibadilishe hata Jina la timuBwana kasimu kuna haja ya kutoka mbele kutujibu kwa nn tumefungwa
🤣🤣Ili aletwe Zidane ?Huyu kocha asipotimuliwa sijui