Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Tanzania 0-3 DR Congo | 2022 FIFA WC Qualifiers | Benjamin Mkapa Stadium

Mpira hauna haja ya hamasa wanavinbishwa vichwa bure,hawa wangeachwa tu kivyao
 
Teh teh
IMG_20211111_174745_143.jpg
 
Ila bado tuna nafasi ya kufuzu kombe la dunia. Yote yawezekana tukimuomba Mungu kwa bidii.

2-0

Wakongo wanaudhi yani midume mizima kazi kujichubua tuu
 
Yaan tangia Utopolo alivyo tia NUKSI ktk kiwanja cha BWM (Lupaso) basi mambo sio mambo siku izi ktk kile kiwanja. Si mnakumbuka Utopolo walipigwa na ile timu ya zambia ! Basi vipigo vimekuwa vikifululiza pale. ....itabidi waambiwe utopolo waende waende wakatoe tunguri walizo zizika pale
Kama uwanja umetiwa nuksi kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Zesco, imekuaje timu ya Tanzania ikashinda kwenye uwanja huo huo dhidi ya Madagascar?
 
Huyuu kibwana shonari anacheza klabu gani ? Mbona ana michezo ya kitoto ?
 
Back
Top Bottom