Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Sipendi kuangalia mpira wa stars leo nimejikakamua kuangalia nikaona Kuna wachezaji wawili mmoja Anaitwa Bwana Samatha ,anapokea mpira vizuri anapiga pasi vizuri ,ana fanya dribling anakaa kwenye zone
mwingine ni Novatus Lufunga anapiga pasi za mbele anautulivu wa hali ya juu anapokonya mpira wahat a player .kiufupi tupeleke wachezaji nje ya africa science ya mpira bado sana kwetu,
wachezaji wetu wazuri kama Fei toto ni wazuri kwa league za ndani ni sawa na kumpatia kijana wa form four mtihani wa third year chuoni