Tunaenda CATARAya tunaposema Congo ni level nyingine muwe mnaelewa .Aya Qatal tutapasikia tu labda twende Kwa Zulu natal[emoji28]
Tumepigwa nacho kwenye pumbuKitu kizito sana tumepigwa nacho kichwani leo
Watu fantasy za kwenda Doha zilitaradadi
Novatus Lufunga 🥲🥲🥲Sipendi kuangalia mpira wa stars leo nimejikakamua kuangalia nikaona Kuna wachezaji wawili mmoja Anaitwa Bwana Samatha ,anapokea mpira vizuri anapiga pasi vizuri ,ana fanya dribling anakaa kwenye zone ,mwingine ni Novatus Lufunga anapiga pasi za mbele anautulivu wa hali ya juu anapokonya mpira wahat a player .kiufupi tupeleke wachezaji nje ya africa science ya mpira bado sana kwetu,wachezaji wetu wazuri kama Fei toto ni wazuri kwa league za ndani ni sawa na kumpatia kijana wa form four mtihani wa third year chuoni
Nendeni tu mkuuTunaenda CATAR
Infact tumejitahidi sana ..Soka lina wenyeweTz 0
Congo 1
Tungeambia mama Samia kafunga[emoji12]!
kivipi kwani head 2 head sii kila mmoja kashinda awayBenin kashatamatisha safari ya stars. Kwa heri tuonane 2026.
Benin ana points 10 DRC 8, kwa hiyo game ya mwisho DRC vs Benin matokeo yoyote yanainyima stars kufuzu.DRC akishinda anakuwa na 11, Benin akishinda anakuwa na 13, ikiwa draw DRC anakuwa na 9 Benin 11. Kwa hiyo safari imefika tamati.kivipi kwani head 2 head sii kila mmoja kashinda away
Kwa hiyo hamna sababu ya kwenda madagascar na boeing au sio...wapande propeller tuuBenin ana points 10 DRC 8, kwa hiyo game ya mwisho DRC vs Benin matokeo yoyote yanainyima stars kufuzu.DRC akishinda anakuwa na 11, Benin akishinda anakuwa na 13, ikiwa draw DRC anakuwa na 9 Benin 11. Kwa hiyo safari imefika tamati.
Nashangaa watu wanashindwa kuelewa hesabu ndogo kama hiyo. Imeisha hiyo.Benin ana points 10 DRC 8, kwa hiyo game ya mwisho DRC vs Benin matokeo yoyote yanainyima stars kufuzu.DRC akishinda anakuwa na 11, Benin akishinda anakuwa na 13, ikiwa draw DRC anakuwa na 9 Benin 11. Kwa hiyo safari imefika tamati.
Kugegedana kwa kwenda mbele tuuSisi tunaweza michezo yenye ngono na pombe kama Bigbrother,tukomae na big brother tu.